Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.

Wenzetu huwa hamvumilii njaa, masaa mawili tu hoi.
 
Unajua kwa nini Mungu alimfanya mtume hajui kuandika wala kusoma kilichoandikwa?
Kuku outsmart na utopolo wako huu ulio uandika.
Halafu mwenyewe hapo anajiona katoa bonge la point tena anarudia na kurudia, halafu wapo wengi sana wanaotumia hoja kama hii.

Kumbe ni pointless.
 
Inategemea na maana ya kufunga kwenu

Kufunga kimwili
Kufunga swaum ni kujizuia kula na kunywa na kushiriki jimai( tendo la ndoa) wakati wa mchana kunapokuwa na mwangaza kwenye upeo wa macho kabla ya kuchomoza jua na kati ya kuchwa kwa jua.

Kufunga kiroho
kunaitwa imsak. Maana ya Imsak ni kuiweka roho/nafsi mbali na inayoyatamani na kutoyafanya(maovu yaliyo katazwa). Kinyume cha imsak ni iftar, yaani kufutari.

Hata wahindu wanafunga ,usikute nyinyi ndio mnaukaraisha mwili kwa Kukaa na njaa kipindi kirefu.

NB
Njaa ikizidi Sana ufanisi wa ubongo na mwili unapungua ,sisi funga kwetu sio adhabu
 
Kula ni bora kuliko usingizi. Amkeni ndugu zangu waislaaaaaaaaamm, kula ni bora kuliko usingizi. 🤣🤣 daku iyo
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Tume maana ya kufunga kwa wakristo
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.

Halafu hiyo jioni wanakula with overtime [emoji108][emoji108]

Chakula ambacho kingeliwa kama breakfast, luch na dinner kinakusanywa na kuliwa kwa pamoja kama futari achilia mbali daku .

Imagine!

Inashangaza
 
Ni kama vile mtu ana postipon kula asubuhi na mchana lakini milo hiyo inakuja kuliwa jioni wakati wa kufuturu! Achilia mbali daku!

So far ilikuwa mtu ale cha jioni tu lakini volume ya chakula ni kubwa kiasi cha kujumlisha cha asubuhi, mchana na jioni achilia mbali daku !
 
Kwani hoko makanisani kwenu mna ambiwaje kuhusu uislam mbona mnauchukia sana?

Kuweni makini msije pandikizwa chuki ambazo hazipo
 
Ndio maana wengine badala ya kupungua uzito ndio kwanza wananenepa [emoji14][emoji14]

Sasa kufunga na kunenepa wapi na wapi?!
 
Ni kama vile mtu ana postipon kula asubuhi na mchana lakini milo hiyo inakuja kuliwa jioni wakati wa kufuturu! Achilia mbali daku!

So far ilikuwa mtu ale cha jioni tu lakini volume ya chakula ni kubwa kiasi cha kujumlisha cha asubuhi, mchana na jioni achilia mbali daku !
Yote hayo hayakuhusu acha kusumbua kichwa chako kwa yasiokuhusu ndugu
 
Ni kama vile mtu ana postipon kula asubuhi na mchana lakini milo hiyo inakuja kuliwa jioni wakati wa kufuturu! Achilia mbali daku!

So far ilikuwa mtu ale cha jioni tu lakini volume ya chakula ni kubwa kiasi cha kujumlisha cha asubuhi, mchana na jioni achilia mbali daku !
Chuki uondosha maarifa.

Makafiri wengi mna chuki na mfumo wa maisha ya waislamu.

Mnaona waislamu wana maisha poa sana mnayoyatamani ila ndo hivyo tena.

Unasema waislamu wanakusanya cha asubuhi mchana na jioni.

Hapa ume assume waislamu wote wanakipato cha kuwawezesha kumudu futari na vyote ulivyovitaja.

Vipi kwa wale wasiokuwa na uwezo?

Hakika makafiri mnashangaza sana.
 
Wanafundisha upendo kwa watu wote sababu wameumbwa Kwa sura na mfano wa Mwenyezi Mungu bila kujali imani zao.

Hawafundishi chuki kwa mtu yeyote.

Mbona hata madaktari wamekuwa wakisema kuhusu mapungufu katika kufunga na kufuturu?

Fuatilia chukua ushauri na changamoto kwa mtazamo chanya bila kujali ameutoa mtu wa imani gani.

Tafakari kwa kina!
 
Kwamba siku zingine hamjiepushi na uovu? Sasa swala tano zinakuwa za kazi gani kila siku.

Mnaita kufunga kimsingi kwasababu hamli mchana na ndio mimi nimetoa changamoto kwamba huko sio kufunga.

Halafu jinsi unavyojibu hapa inaonesha namna gani hauelewi maana ya kufunga.
Dhambi na mema hayana siku ,dhambi iliyokatazwa mwezi wa Ramadan haijahalalishwa mwezi mwengine au kinyume chake .

Ramadan nimwezi wa kuzidisha mema zaidi kama ilivyo kwenye elimu miezi mingine ni ya kusoma lakini mwezi kabla ya mtihani ni wa kusoma zaidi, ukifanya jema mwezi huu malipo yake mara mbili ya miezi mingine .

Mtume kasema tuishi maisha yetu ndani ya Ramadan yaani jinsi tunavyo fanya mema mwezi huu hiwe ndio maisha yetu ya miezi mingine.

Pia wanaofanya mema mwezi wa Ramadan pekee wamefananishwa na wanao abudu mwezi kwa maana wanaofanya ibada na mema Ramadan pekee
 
Chuki uondosha maarifa.

Makafiri wengi mna chuki na mfumo wa maisha ya waislamu.

Mnaona waislamu wana maisha poa sana mnayoyatamani ila ndo hivyo tena.

Unasema waislamu wanakusanya cha asubuhi mchana na jioni.

Hapa ume assume waislamu wote wanakipato cha kuwawezesha kumudu futari na vyote ulivyovitaja.

Vipi kwa wale wasiokuwa na uwezo?

Hakika makafiri mnashangaza sana.

Tulia ujadili bila mihemko!

Sina chuki na mtu nimefundishwa kuwapenda watu wote bila kujali imani zao sababu wameumbwa Kwa sura na mfano wa Mungu.

Halafu unajuaje imani yangu huenda na Mimi ni Muislam mwenzio?

Madaktari hata Dokta Janabi huwa anazungumizia namna bora ya kufuturu ambaye ni Muislam.

Eti uwezo uwezo gani sasa?

Mtu anatakiwa kuturu Kwa kikombe kimoja cha uji tu na yai moja tu la kuchemsha bila daku.

Au glass moja ya Juisi na tunda.

Sasa hiyo inahitajika uwezo gani hapo!
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Uislam ni dini ambayo imekamilika na haijaja Kama adhabu kwa mtu sie tunafunga Kama ibada na mafundisho kutoka kwa Mungu na mtume hivyo unavyo funga ww na hao wenzio nikikuuliza ni mafundisho kutoka wapi kwenye biblia hautanionyesha hicho kifungu Ila mmeamua tu kujipa adhabu za bila sababu
 
Back
Top Bottom