Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Jambo Kama Hulielewi Omba Ueleweshwe.Salamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.