Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Acha kukurupuka kuingilia imani ya watu kama hujui uliza usaidiwe kuliko kuhukumu.
 
Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
[emoji2][emoji2][emoji2] asee!!!
 
Kufunga maanake nini?
 
Maji ya Nini brother...?? Me nawajua watu wanafunga 40 kavu bila kula kitu we unasema maji... Bado hujui kufunga na wewe tafuta neno jingine...
Ndivio unavio danganywa na wakina miujiza
 
Wewe unae jua maana ya funga hasa kwa waisilamu tililika tuone tupate fwaida
 
Sasa na huyo anafungaje wkt anakunywa maji ndo unasemaje umefunga
 
Cheki picha hapa chini utajufunza kitu
 
Sawa mkuu, kwahiyo mnajizuia na dhambi na chakula kwa muda kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Dhambi kila siku ni Katazo ila ukitenda mwezi huu unakuwa sawa naalieenda kuvutia banghe polisi tunajizuia na kula kunywa kujamiana na mke wa ndoa mchana mpaka jua linapo zama hapo yaliyo fungwa mchana usiku ya akuwa halali
 
Sema tu unakataa usichokijua, kwenye imani za watu.
labda wewe una mwongozo unaosimamia Dini zote, na madhebu yake ndiyo maana unaona wanakosea.

Ila ukijua wakatoriki na walokole wote, ni wanaamini yesu na kuna maeneo yanatofaitiana huwezi kuandika pumba hizi. maana Ukristo siyo Uislamu na Uislamu siyo Ukristo.
Kuna mkristo mmoja aliwahi niambia, wao dhehebu lao hufanga tendo moja moja, lakini yupo jamaa yangu, mchungaji ana kanisa lake, anafunga mara nyingi sana nje ya kwerezima, ila jioni anakula.

Nikupeleke pale kanisa kubwa la pale kimara korogwe, ukienda jioni utakuta wameandaa chai zao uji kwa ajili ya kufungua, Unachotakiwa Shika imani yako, mathehebu yako mengi.
 
Kweli mkuu jibu la kafiri ni kumyamazia tu
 
Hatuwezi kuamini ukirisito sababu kuanzisha Paulo baada ya yesu kuondoka pia Paulo alikuwa khanithi pia alia wanafunzi wengi wa yesu ndio maana alienda kuanzishia ukirito huo antiokia baada ya kuchukua mila za mipakani na kutunga anachanganya sehemu 1 na kuita ukirito,Muhammad ajaanzisha uisilamu kama unaa diko lete mwaka alipoanzisha uisilamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…