Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Unaacha mawasiliano nae tu, kisha unakaa zako kimya kabisa. kama kweli yupo kwenye uhusiano, ukimya wako hautamuuma, lakini kama hana mtu lazima imuume wewe kukata mawasiliano. unajua wanawake hawana misimamo, ndio sababu mwengine anamkubalia mtu kutokana na ushauri wa shoga zake.
 
tAfuta hela

Ukiwa na hela hutasikia jibu kama hilo hata siku moja

Ukiwa una pesa kuna wakati unamuona mwanamke mzuri unashindwa kujizuia unamuita ingawaje hukutaka unamtongoza unataman hata akatae au akuzungushe zungushe lakin ajabu haitokei hvyo,ukimpanga unaona anapangika hapo hapo mpaka unajilaumu kwann nimemjaribu huyu tena
 
Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
 
tAfuta hela

Ukiwa na hela hutasikia jibu kama hilo hata siku moja

Ukiwa una pesa kuna wakati unamuona mwanamke mzuri unashindwa kujizuia unamuita ingawaje hukutaka unamtongoza unataman hata akatae au akuzungushe zungushe lakin ajabu haitokei hvyo,ukimpanga unaona anapangika hapo hapo mpaka unajilaumu kwann nimemjaribu huyu tena
Waulize wenye pesa zao wanaopitia changamoto za mapenzi wakueleweshe. Ukiwa na pesa utavutia wale walafi wa hizo pesa zako ila kama unataka mahusiano ya kueleweka ujue kazi bado unayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona wote siku hz wamekuwa walafi

wAnawake wa zamani walikuwa wanatamani mavazi tu na urembo

Lakin wasasa wanatamani gari kali,nyumba,biashara,sasa wa hv akijua uko vizuri hawez toa jibu eti niko na mtu
 
Natumai mu wazima sana,

mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?

Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
She is testing you.
anajarbu kutaka kuona unaji value kiasi gani.
hajavutiwa na wewe!
furahia amekwambia ukweli.

Njia pekee hapo bad boy nitafanya ni kumu ignore .
Just walk away and exercise other options.

Stop texting , callin , just ghost her @ss.
she will go crazy and start chasing you
 
Natumai mu wazima sana,

Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?

Embu shusheni nondo hapo tupate somo.

Kwa mfano wewe una mwanamke, unafikiri akitongozwa anatakiwa ajibuje urizike, na akimjibu mth nina mtu wangu, utamchukuliaje mtu ambaye anaendelea msumbua?
 
She is testing you.
anajarbu kutaka kuona unaji value kiasi gani.
hajavutiwa na wewe!
furahia amekwambia ukweli.

Njia pekee hapo bad boy nitafanya ni kumu ignore .
Just walk away and exercise other options.

Stop texting , callin , just ghost her @ss.
she will go crazy and start chasing you
bonge la ushauri mkuu Dakarai
 
Back
Top Bottom