Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Mnafundishana ujinga[emoji38][emoji38]
maana hili jibu ni common sana
 
Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Nipo stationary nafanyia lamination hii comment yako mkuu.
 
Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.
Acha uongo tafuta pesa uone kama kuna mwanamke unayemtaka atakupuuza.

Kuna una pesa tumia pesa, hakuna mwanamke anayeweza kukukataa
 
Hakuna mwanamke aliyenipa hilo jibu akabaki salama. Baada ya jibu kama hilo hua nakula bati, yani mikausho mikali mpaka wanaishiaga kujishtukia na kuanza kujilengesha wenyewe.

Nahisi nimekua mtu mzima sasa. Ile nguvu ya kuforce mapenzi sina. Niko focused sana na pesa na career yangu!
 
Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Mh h moment mkuu uneitoa wp au umepest?
 
Kwa uzuri wako nilikuwa nalitegemea hilo[emoji257][emoji257]lakini issue sio kuwa na mtu bali kuwa na mtu sahihi.
BTW sidhan kama ni mtu wako wa kwanza hata akiwa wa kwanza huwezi kujihakikishia kwamba atakuwa wa mwisho. Naomba uwe wa mwisho kwangu nami niwe wa mwisho kwako[emoji1666][emoji1666]
Iyo imetulia haezi chomoa
 
Back
Top Bottom