Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kuna mambo haya ukikosea tu utaambiwa hivyo;Natumai mu wazima sana,
Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?
Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
1. Vijana mna pupa ukiona binti mrembo papo hapo unaanza tongoza.
2. Uko rafu hauko smart so hajakuelewa amekuwekea ukuta.
3. Amekuona kapuro...wanawake wanaona mbali sana, wewe unawaza mbusu...yeye anapiga hesabu za kuwezeshwa.
Dawa ya hili;
1. Jenga urafiiki/ ukaribu naye ili akuelewe.
Binti akikuelewa huwa anaanza kuishiwa nguvu kwako.
Kazi yako utamalizia kilaini.
2. Acha kutongoza tongoza haraka haraka....sio kila mwanamke anapenda ujinga huu, onyesha kumheshimu na kumjali kwanza.
Nakadori ongezea hunaga uchoyo wa mbinu
Kapeace pita huku
sophy27 sema neno