Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Sio kila mwanamke huwa anababaika na pesa mimi niliwahi kupendwa na dada mmoja alikuwa black beauty halafu ana mzigo kiasi bongebonge alimkataa jamaa alikuwa anafanya kazi mgodini tena analipwa mpunga mrefu 😂😂 jamaa alikuwa na mbwembwe alikuwa na toyota crown akifika pale nilipokuwa naishi anaongeza spidi😂😂😂