kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Taken.Natumai my wazima sana...
mabaharia nina swali lenu hapa..
Wewe Kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba. NINA MTU WANGΓ ..
Em shusheni nondo hapo tupate somo.
Niliwahi pewa jibu kama hili nilichokaπππMwambie hata wewe una mtu wako ila unataka kumsaidia huyo mtu wake baadhi ya majumu.
Waulize wenye pesa zao wanaopitia changamoto za mapenzi wakueleweshe. Ukiwa na pesa utavutia wale walafi wa hizo pesa zako ila kama unataka mahusiano ya kueleweka ujue kazi bado unayo.tAfuta hela
Ukiwa na hela hutasikia jibu kama hilo hata siku moja
Ukiwa una pesa kuna wakati unamuona mwanamke mzuri unashindwa kujizuia unamuita ingawaje hukutaka unamtongoza unataman hata akatae au akuzungushe zungushe lakin ajabu haitokei hvyo,ukimpanga unaona anapangika hapo hapo mpaka unajilaumu kwann nimemjaribu huyu tena
Mi naona wote siku hz wamekuwa walafiWaulize wenye pesa zao wanaopitia changamoto za mapenzi wakueleweshe. Ukiwa na pesa utavutia wale walafi wa hizo pesa zako ila kama unataka mahusiano ya kueleweka ujue kazi bado unayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
She is testing you.Natumai mu wazima sana,
mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?
Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
ππππStop texting , callin , just ghost her @ss.
she will go crazy and start chasing you
Natumai mu wazima sana,
Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?
Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
bonge la ushauri mkuu DakaraiShe is testing you.
anajarbu kutaka kuona unaji value kiasi gani.
hajavutiwa na wewe!
furahia amekwambia ukweli.
Njia pekee hapo bad boy nitafanya ni kumu ignore .
Just walk away and exercise other options.
Stop texting , callin , just ghost her @ss.
she will go crazy and start chasing you