Unashughulika vipi na hili la 'nina mtu wangu'?

Wewe tatizo lako unapenda sana zile za papo kwa papo shauri yako utabeba makapi wewee
Unajua sisi wanaume watu wa tamaa wakati mwingine tunataka tu tule mbususu tusepe. Mambo yasiwe mengi.

Sasa manzi kama huyu hakuna haja ya kuweka sana urafiki ni hit and run
 
"Huyu niliyenae kwa sasa ni mtu sahihi sana kwangu. Hata yeye ameshaniahidi kuwa atakuwa wa mwisho kwangu nami nimemuahidi nitakuwa wa mwisho kwake."

Ukijibiwa hivi budah utatumia maneno gani kumshawishi mpaka abadili msimano wake?
Maneno kidogo.........
 
Kama una malengo nae komaa tofauti na hapo piga chin
 
Kwa kuongezea tu mahusiano imara hufanya ke atoe kauli hiyo
 
Achana nae tafuta mzuri zaidi yake, alafu furahia maisha
 
ni kweli asiwe na pupa kutongoza, ila urafiki 😳 ?
 
Natumai mu wazima sana,

Mabaharia nina swali lenu hapa, wewe kama mwanaume huwa una deal vipi na jibu utakalopewa na mwanamke kwamba, 'nina mtu wangu'?

Embu shusheni nondo hapo tupate somo.
Kama umeenda naye vizuri alafu akakuambia ivo, aitha;
Achana naye kabisa usimjibu, hata kama ni kweli au si kweli tafuta tu mwingine. au

kama unataka kumchokonoa zaidi muambie,
usijali utakua naye baada kufurahi na mimi.
 
Watu wengi wanadhani ukiwa na hela ndio utapata mwanamke yoyote. Hawaamini kuna wanawake hawababaiki na hela.

Kweli kabisa kuna pisi hazibabaiki na pesa,show off za kiganga…. achana na hizi za msingi kiuno.
 
Kuna vitu vingine vipo wazi kabisa haiitaji hata elimu ya darasa la nne kuelewa,achana na huyo mtu hajavutiwa na wewe.
Ukiwa unawasiliana na mtu tu kwa mara ya kwanza utabaini tu anyway sikumbuki mara yangu ya mwisho kutongoza design yako ni lini unahitaji kupigwa msasa mkali sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…