Unasomea Udaktari miaka mingi, kisha unakuja kulipwa hivi

Yaani laki 8 mnasema hela ndogo hiyo? Acheni matumizi mabaya ya fedha... Mimi nikipata 3,000 as faida per day inanitosha... Wewe hapo karibia 25,000 kwa siku unaona kidogo...
 
Si amesha define unit yake kuwa ni malalamiko mlio nayo
 
Si amesha define unit yake kuwa ni malalamiko mlio nayo
Kwenye Kila uniti Kuna validity ili kuwe na standard.......huwezi sema kipimo cha uzito ni kujaa kwa gunia,welevu watakuona kituko ndio maana jamaa namwambia yeye ni MPUMBAVU,sababu ya madhara ya kuichukia elimu
 

Uwe unajifunza kusoma na kuelewa kwanza kabla hujaanza kuharisha wewe kima.
[/QUOTE]
1.Kusoma nini na kuelewa nini?
2 Yaani unataja taasisi za serikali kisha unasema hizo ni professional?
3.umfananishe mwalimu wa Kampala,St Joseph university na mwalimu wa Mugabe secondary sinza?
Tukisema wewe ni MPUMBAVU tutakua tunakosea?
NOTE
Mpumbavu ni mtu asiyejua,akaelekezwa kilicho sahihi bado akasimamia UJINGA wake
 
Kweli kabisa. Askari wa TANAPA anampiga gap kubwa daktari aliyesoma miaka mitano plus internship mwaka mzima.
Vipi na daktari wa TANAPA,MD,BVM,Phd......anazidiwa kiasi gani na askari wa TANAPA?
NOTE
huwezi kuichukia elimu,ukabaki salama,.......lazima tu utakua MPUMBAVU
 
Kwa kampuni kubwa kama TBL hiyo sio hela nyingi.. kulipwa kwa mwezi. Mc Garab tu analipwa milioni tatu kwa kufanya kazi masaa manne tu tena kazi yake ni kuongea tu.
Watu kama Mc Garab wapo wangapi kwenye nchi yenye watu milioni 60?,alitumia muda gani kua hivyo?
NOTE
Hakuna mafanikio rahisi
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kumbe! Kwahyo Mimi kwa mwezi naingiza hela zaidi ya daktar na sijaajiriwa
Bora hata wewe hujaajiriwa,yupo jamaa shoga anaingiza hela zaidi ya hio pia?
Wapo watu wanakaa tu kwao,wanaweza kuununua ukoo wako wote.
Watu wengi walipenda kua madaktari,MD.
sema walifeli shule/maksi hazikutosha,wameishia kua na hasira na Kila kitu anachofanya MD
 
Vijaa Vijana wengi waliofeli shule,ama waliokua na ndoto za kua MD,hujifariji kwa kuiponda MD na kujifanya wanalalamika MD ana mshahara mdogoπŸ˜†πŸ˜†-----INFERIORITY COMPLEX...........
1.Waambie waende kariakoo,mfanyabiashara anayeingiza faida ya laki nane kwa mwezi,ana mtaji wa bei gani?
2.wasichojua MD anayeanza kazi huo mshahara analipwa kwa mwezi anawizidi zaidi ya 98% ya watumishi wa hio taasisi
3.Maisha sio rahisi vijana,huwezi fanikiwa kwa kuwachukia waliokuzidi
 
Hapo hapo watu wasiokuwa na elimu yeyote (wabunge na mawaziri) wanalipwa zaidi ya huu mshahara. Kwa kweli kuna urasimu hapa.
 

Dah Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…