DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
😂😂😂😂 Mitano tenaNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Mitano tenaNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Mechanical Engineer TBL analipwa 9m+
Yes private.Ulisoma private mkuu?. Programme ya miaka mingapi naona deni lako limechangamka
Madaktari wa kule ni vichwa, wasipowalipa vizuri wataenda kujiajiri kwenye hospitali zao au kwenda nchi zingine; ukiona unategemea huruma ili kupewa mshahara, jua wewe sio ''competent''Hizo nchi zinazo lipa Vizuri Madakfi hawajui huo uwanja? Taifa limejaaa wajinga sana hili
Si amesha define unit yake kuwa ni malalamiko mlio nayoElimu ukiikimbia lazima uwe MPUMBAVU......Kila parameter kwenye maisha inapimwa Kwa tool maalum,kama distance in KM,temperature in centigrade etc,hata furaha na stress kuna tools zinatumika kupimia.
Yaani unadhani wabunge kulalamika wananchi wao wanamaisha magumu,ndio unadhani wanamaanisha wanatetea na kuwapenda sana?
Umerudi kusema hizo kada zinalalamika maisha magumu na hiko ndio kipimo chako wewe cha wao kutokua na furaha Kwa kua tu wewe haulalamiki,je wewe sio MPUMBAVU
NOTE
Mpumbavu ni mtu asiyejua jambo,akajifanaya anajua,akasahihishwa bado akajifanya yeye anajua
Kwenye Kila uniti Kuna validity ili kuwe na standard.......huwezi sema kipimo cha uzito ni kujaa kwa gunia,welevu watakuona kituko ndio maana jamaa namwambia yeye ni MPUMBAVU,sababu ya madhara ya kuichukia elimuSi amesha define unit yake kuwa ni malalamiko mlio nayo
Vipi na daktari wa TANAPA,MD,BVM,Phd......anazidiwa kiasi gani na askari wa TANAPA?Kweli kabisa. Askari wa TANAPA anampiga gap kubwa daktari aliyesoma miaka mitano plus internship mwaka mzima.
Bajaji ya milioni 8 ya mkataba,.......maisha rahisi kihivyo?,.........😀😀Pesa hiyo hata dereva bajaji anaipata kubwa daktari ni taaluma ataendelea kuheshimika
Watu kama Mc Garab wapo wangapi kwenye nchi yenye watu milioni 60?,alitumia muda gani kua hivyo?Kwa kampuni kubwa kama TBL hiyo sio hela nyingi.. kulipwa kwa mwezi. Mc Garab tu analipwa milioni tatu kwa kufanya kazi masaa manne tu tena kazi yake ni kuongea tu.
Bora hata wewe hujaajiriwa,yupo jamaa shoga anaingiza hela zaidi ya hio pia?😅😅😅 kumbe! Kwahyo Mimi kwa mwezi naingiza hela zaidi ya daktar na sijaajiriwa
Vijana wengi waliofeli shule,ama waliokua na ndoto za kua MD,hujifariji kwa kuiponda MD na kujifanya wanalalamika MD ana mshahara mdogo😆😆-----INFERIORITY COMPLEX...........Watu huwaga hawaelewi tu na kuishia kuotea , Hospitali dili zinapigwa si mchezo MD wajanja wanatoka hospital na si chini ya 100k hii ni siri ya Dokta , tena ukija hizi hospital za mjini wagonjwa wenyewe ndio wanatoa hela cash ili wapate favour ..Hapo bado hujajumlisha na posho zingine, Halafu wengi wasichokijua ni muda wa kazi, MD kazini anaingia saa tatu kamili za asubuhi by saa nane ashaondoka baada ya hapo akiitwa tena kazini ni posho , kwa mwezi unaweza itwa mpaka mara kumi inategenea na ukubwa wa hospitali na wingi wa madokta waliozamu ya kuitwa , chukulia mara kumi zote analipwa , hapo bado sijasemea Seminer na zile dharulula.
tena siku hizi CO wanaojitolea kibao unampa ya kula anakalia zamu yako anasongesha gurdumu akikwama ndio anakuita.
Asilimia kubwa ya wanaopata mishahara mikubwa kazi zao ni za mikataba ukiisha ndio basi anaanza upya
Na bado Loan ya CRDB waruke na 338,000 yaoNimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Nao wanajipa umuhimu ikibidi wapunguze wateja wao tujue wamechafukwa kwrli kweliAcha upuuzi wewe MD alipwe laki 200k, mbona naona kama mna inferiority na madaktari
Wahamie kwenye siii hasaa huku kila kitu kinawezekana.Hapo hapo watu wasiokuwa na elimu yeyote (wabunge na mawaziri) wanalipwa zaidi ya huu mshahara. Kwa kweli kuna urasimu hapa.
Kwa huu mshahara lazima uwe mwizi wa kodi/mali za umma! Hakuna namna!Nimeona salary slip ya mshahara wa daktari, yaani miaka yote halafu unaishia kulipwa hivi? View attachment 3043955
Elimu ukiikimbia lazima uwe MPUMBAVU......Kila parameter kwenye maisha inapimwa Kwa tool maalum,kama distance in KM,temperature in centigrade etc,hata furaha na stress kuna tools zinatumika kupimia.
Yaani unadhani wabunge kulalamika wananchi wao wanamaisha magumu,ndio unadhani wanamaanisha wanatetea na kuwapenda sana?
Umerudi kusema hizo kada zinalalamika maisha magumu na hiko ndio kipimo chako wewe cha wao kutokua na furaha Kwa kua tu wewe haulalamiki,je wewe sio MPUMBAVU
NOTE
Mpumbavu ni mtu asiyejua jambo,akajifanaya anajua,akasahihishwa bado akajifanya yeye anajua