The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hapo aliesoma diploma, yaani alifeli form four, akapata four, akaenda kusoma certificate ya tax, kisha diploma ya tax, yaani miaka 3 baada ya form 4 akaajiriwa tra anavuta 1.8m bila jasho. Mwenzake aliepata division 1 ya 7 akaenda advance akapiga miaka 2 akapata divisheni 1 ya 3, akaenda Muhimbili akasoma miaka 6, jumla 8, yule aliepata four ana miaka 5 kazini anapiga mpunga wa 1.8m halafu huyu wa muhimbili akiajiriwa ataambulia 1.5, mkopo juu, mwenzake ana miaka 5 na amepandishwa daraja anavuta 2.1m bila jasho.
Bongo kuna fani ukisoma haijalishi ulipata division 1 ama nini utaishia kua masikini tu.
Madaktari, walimu wa vyuo vikuu, hawa walisoma vizuri wakapata ufaulu mzuri ila maisha wanayoishi hata muuza mahindi ya kuchoma barabarani ni afadhali. Sasa jichanganye zaidi uwe mwalimu wa shule za kawaida hizi, ndio balaa.
Bro wangu alikua mojawapo ya Tanzania 1 (alikua kwenye top 3) miaka ya 90 kwa form six, aliishia kua mwalimu chuo kikuu, hu anasema ana vyeti mbwa haruki lakini anaishi maisha magumu sana, tuliofuata tukastuka maisha ya ualimu tutakufa masikini, tukasomea kuosha magari, kuchomelea vyuma na udalali vyuo vikuu, mambo ni bambam😂.