Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Kuna wimbo kaimba Barnabas unaimba imiss u mama Vanessa imic u darlng
 
Huu pia unaitwa Namiswi m
Misapi ni w Tp Ok Jazz, line up ya huu wimbo ilikuwa hivi, Vocals: Ntesa Dalienst, Aimé Kiwakana, Dénis Bonyeme, Madilu, Guitars: Gerry Dialungana, Papa Noel, Makosso , bass: Mpudi Decca
 
Sio Manu Dibango, huyu kaurudia tuu kwa style yake, anaitwa Franklin Baukaka wimbo unaitwa Le Boucheron Africa uko YouTube hapa
 
Mimi niombe kibao kinaitwa KATHY MODUDE cha Vicky (Longomba) akiwa na OK Jazz cha miaka ya 1960s. Natanguliza shukrani.
 
Mimi niombe kibao kinaitwa KATHY MODUDE cha Vicky (Longomba) akiwa na OK Jazz cha miaka ya 1960s. Natanguliza shukrani.
Mkuu kama sijakosea ni Franco, Vicky, L'OK Jazz - Catherine Moziki, utanisahihisha
 
Mkuu kama sijakosea ni Franco, Vicky, L'OK Jazz - Catherine Moziki, utanisahihisha
Hapana mkuu ni kama nilivyoandika KATHY MODUDE ya Vicky na L'OK Jazz enzi za Radio Tanzania Dar es salaam miaka ya 60+ toka hapo sijaisikia tena.
 
Hapana mkuu ni kama nilivyoandika KATHY MODUDE ya Vicky na L'OK Jazz enzi za Radio Tanzania Dar es salaam miaka ya 60+ toka hapo sijaisikia tena.
Ok ngoja kukuche nika fumue ma external yangu na album nyingi sana za Ok Jazz [emoji448] nikipata tuta share au au labda Roga roga anaweza kuja nao
 
Ok ngoja kukuche nika fumue ma external yangu na album nyingi sana za Ok Jazz [emoji448] nikipata tuta share au au labda Roga roga anaweza kuja nao
Natanguliza shukurani.
 
Naomba wimbo wa Zipompapompa
 
Naomba Tiembe rapid pa moli na moyibi ya Pepe kale
 
Mwenye wimbo wa azda wa franko luambo makiadi, msaada naomba audondoshe hapa..

Pia, kuna wimbo umeimbwa na mwanamuziki wa kikongo simfahamu?? Ila kuna sehemu anaimba...... " lusongi Kenya hamuwhele homabee..." Halafu baada ya hapa anataja miji kama vile: Dar es salaam, Kigali, na nchi kama Zimbabwe, Cameroon, Botswana nk.
 
Kuna wimbo unaitwa kesi ya kanga (Monica) naomba sana unifanyie hiyo mkuu, japo mwimbaji simkumbuki vizuri, na kuna wimbo wa mzimumi family- mpiga debe (fani katika maisha) ft Q chief for first time naanza kumsika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…