chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa hata mmoja, na ameshatoa uamuzi.
Kama kuna G-Z wa nchi hii, basi wanatakiwa waanzie mahakamani, wala sio bunge, kwa kuwa Bunge limeshatoa maelekezo kwamba mshtakiwa apewe summons. Na ndio sheria aliyosaini Rais.
Niliwahi kusema kwamba Prof Juma yuko bize kujenga majengo ya mahakama, lakini ameshindwa kujenga mahakama ndani ya majengo hayo.
Huu ni uhuni ambao ni, a ckear sign of deep rooted corruption. Ooohh tunasajili kesi katika mfumo, mfumo huu mbona hukumu hazina hata namba ya kesi?.Na kuna uzi niliandika kwamba hawa ndio wanapewa mamlaka ya ziada (extended jurisdiction) kuamua kesi kama majaji, hovyo kabisa. Hata mzee wa kijijini anajua rushwa kubwa imetolewa hapo.