Unatakiwa Kuelewa Au Kufahamu Kuwa Pesa Ya Halali Hapa Duniani Haipo

HUo ni Mtazamo wako,,,,
Pesa ya halali ipo,,,,,,,,
Utajiri wa Haki na halali upo.......
Matajiri wa haki na halali wapo... tena ni matajiri kwelikweli na hawana mbwembwe wala mayowe.....tena wenye hofu ya Mungu,,,
Lakini wewe huwezi kuwaona sababu umezongwa na vitu pamoja na watu wa ajabu ajabu,
 
Pesa halali zipo acha kudanganya watu

MWENYEZI MUNGU kwa kinywa cha nabii hagai anasema pesa na dhahabu ni mali zake

Mtegemeeni MUNGU MWENYEZI anatoa baraka

Acha upotoshaji kaka
Zitaje hapa hizo pesa za halali zinapatikana vipi mkuu.. πŸ€”
 
Inategemeana na chimbo unalopigia pesa au urithi wa wazazi.

Ila mambo yakienda tofaut mwanaume huamua kuchukua maamuz magum yaan plan 'B' na C
Kwa africa, pesa za kurithi ni ngumu sana kuziendeleza, ( mda wote tunawaza kugawana mirathi tu alafu chimbuko la pesa wazazi huwa hawasemi zimetokea wapi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…