D
Jambo gumu ambalo nimekubaliana nalo ni kua nchi zetu hizi kufikia Dunia ya kwanza labda Muumba aingilie kati.
Hamuwezi kua mnazalisha Nyambizi, ndege za kivita, mitambo mizito, satellites au robots mkawa mnasumbuana na jezi za vyama haiwezekani.
Inauma sana ila kweli
Hayo yote ni maelezo ya mtafutaji anayehangaika kujikomboa kimaisha.Kijana umetapali nani tena? Au umefanya ufusadi katika ofisi unayofanyia kazi? "Acha kujifariji kwa mambo ya hovyo na ushetani..."
Mosi: hakuna pesa chafu duniani.. pesa zote ni safi, pesa haina uwezo wa kujichafua wala kujisafisha kwasababu haina uhai.. pesa ni kitu kilichowekewa thamani tu ili kufanya maisha ya duniani yaende vile inavyotatikana...
Pili: njia unazo tumia kupata pesa ndizo zinazotoa identity ya pesa yako.. kama njia zako si halali kama vile uwizi, ufisadi, umalaya, udangaji, kulawitiwa(ushoga) Utapeli na mambo machafu yanayo fanana na hayo. moja kwa moja pesa yako itahesabika kama pesa chafu (kwa sababu ya njia ulizotumia kuzipata na wala si pesa yenyewe). Mfano, mimi mzee wa zamani nauza duka, ikatokea fisadi papa mmoja au changudoa kaja kununua budhaa kwangu.. ile pesa niliyopatia mimi kwangu itahesabika safi kwa sababu nimeipata kwa njia halali.. kanipa pesa nimempa huduma halali... ingekuwa nauza vitu vitu visivyo halali moja kwa moja pesa inakuwa chafu... "what's matter is how a person get the money but not the money by itself
Mzee wenu na yeyuka! πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Una zungumzia utajiri?Hayo yote ni maelezo ya mtafutaji anayehangaika kujikomboa kimaisha.
HahahJambo gumu ambalo nimekubaliana nalo ni kua nchi zetu hizi kufikia Dunia ya kwanza labda Muumba aingilie kati.
Hamuwezi kua mnazalisha Nyambizi, ndege za kivita, mitambo mizito, satellites au robots mkawa mnasumbuana na jezi za vyama haiwezekani.
Inauma sana ila kweli
bado sijaona sababu ya kuutafuta huo utajiri,Hela ya halali, Hizo hazipatikani kiurahisi mpaka utoe jasho, pia unaweza toa jasho na usizipate kabisa.
Utajiri ni kwa ajili ya kurithisha kizazi kinachofuata.
inasikitisha kwa kweliNi tatizo, zaidi zaidi tunaishiwa kuuana.
oh hapo sawa, kila la kheri mkuuNi maono pia, mfano mimi nikiwa sina hela huwa naona hata aibu kutembea mbele za watu. Kwa hiyo utajir kwangu ni kitu cha msingi zaidi.
Mara nyingi watu wa pwani( sina uhakika kama na wewe ni wapi) hampendi utajiri kabisa, mkipata hela ya kula inatoshaoh hapo sawa, kila la kheri mkuu
kwa upande wangu sijawahi kufikiria kufanya racing ya utajiri, sioni faida au sababu za kufanya hivyo
kitu halali huwa kina sifa ganiHabari wana jamiiforums!!, poleni na majukumu ya hapa na pale π€. Kwa yeyote anaeamini kuwa anapata au atapata pesa ya halali katika harakati zake hiyo sio kweli, zaidi zaidi utaendelea kuwa maskini wa kutupwa na mtu wa kutumwa tumwa kila iitwapo leo.
Hili ni wazo la kifalsafa na kidini ambalo watu tunatazama kwa namna tofauti.
Inabidi tuelewe kuwa hakuna pesa iliyo "safi 100%" kwa sababu kila shughuli ya kiuchumi inahusisha masuala ya pesa lazima kuwe na makosa ya:-
Pesa Inayotokana na kazi, au huduma zinazokubalika kisheria na kimaadili.
- Wizi au udanganyifu
- Unyonyaji
- Mifumo yenye kasoro,
- Au madhara fulani kwa wengine kwa njia ya moja kwa moja
Kwa mfano, mwalimu anayefundisha, mkulima anayelima, au mhudumu wa afya anayetoa huduma, hawezi kuwa na pesa inayoweza kukidhi Mahitaji yake kikamilifu bali ataambulia kuwa na chenchi ambayo anaikusanya kila mwezi.
Kwa hiyo kauli ya "hakuna pesa ya halali duniani kote" ni ukweli inabidi tuukubali kivyovyote vile ; -
Najua kuna maoni tufauti Watu wengine wanakubaliana kuwa, kuna tofauti kati ya pesa iliyopatikana kwa uhalifu na kuna pesa iliyopatikana kwa kazi ya halali..
Kuwa mkweli hela yako ni ya halali au ndo bado upo unapambana mdogo mdogo mpaka tone la mwisho. ?? ππ.
Usiue lakini uwe tayari kuua dunia ya utafutaji ukiwa mnyonge na mwenye huruma hufiki popote. Uwe tayari kilinda maslahi yako kwa gharama yoyote ile hata kwa uhai wa mtuTafuta mzigo kwa njia yeyote ile, usiue tu
Mafanikio ya watu ni siri ya kwenda nayo kaburini. Pesa ipi halal ni Mungu pekee ndio anajua.Mkuu Kuna watu wanaishi ndoto zao na wanakula pesa halali.