Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #161
haahhahahaWewe mwanaume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahhahahaWewe mwanaume?
uuuuwi hahahahhaWala siyo chaki kwamba itaisha hata ya upande wa pili inaoshwa vizuri na kutulia tulii anapewa mwingine
mimi nimeolewa zamani sana bossmoney wewe ulikaa mda gani
hujanijibu swalimimi nimeolewa zamani sana boss
hamna kuonana mpaka ndoa
nimejibuhujanijibu swali
jibu zuri babuMuda wowote tu pale hisia zitakapomuelekeza kufanya hilo tendo;
Mnatakiwa kupeana utamu baada ya kufunga ndoa na si vinginevyo.Naulizwa
Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?
Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?
Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Hapana sio sifa wala nini ila kama kitu nnachokitaka mimi kinatokea muda nnaoutaka mimi and the trend goes on and on nasema alhamdulilah everything is cool with me …so i give zero fwucks and i just go with the flow…ymwenyewe unajiona kiduuume maskini!
amina mtumishiMnatakiwa kupeana utamu baada ya kufunga ndoa na si vinginevyo.
ila hai guarantee kuwa huyu demu unamuaoa sio?Hapana sio sifa wala nini ila kama kitu nnachokitaka mimi kinatokea muda nnaoutaka mimi and the trend goes on and on nasema alhamdulilah everything is cool with me …so i give zero fwucks and i just go with the flow…
My dear huwa haipo hivyo kwa wanaume, Mwanaume ni tofauti sana na mwanamke mwanaume yeye akitaka jambo lake litokee anapambana nalo titfotat likitokea ndio mengine tutajua mbele kwa mbele, wanaume wengi wapo kwenye mahusiano SERIOUS na watu waliodhan wanatoumba wanakimbia…,ila hai guarantee kuwa huyu demu unamuaoa sio?
DONT TRY THIS AT HOME!My dear huwa haipo hivyo kwa wanaume, Mwanaume ni tofauti sana na mwanamke mwanaume yeye akitaka jambo lake litokee anapambana nalo titfotat likitokea ndio mengine tutajua mbele kwa mbele, wanaume wengi wapo kwenye mahusiano SERIOUS na watu waliodhan wanatoumba wanakimbia…,
BAdo hujasemaMy dear huwa haipo hivyo kwa wanaume, Mwanaume ni tofauti sana na mwanamke mwanaume yeye akitaka jambo lake litokee anapambana nalo titfotat likitokea ndio mengine tutajua mbele kwa mbele, wanaume wengi wapo kwenye mahusiano SERIOUS na watu waliodhan wanatoumba wanakimbia…,
Hakuna uhusiano kukazana na kyoana ni vitu viwil tpfauti na sio lazima viende pamoja mkuu, nimwoe ili nigundue nini ?BAdo hujasema
huyo uliemtomb.a umemuoa?
We nawe ulikuwa mshika pembe tatizo lako[emoji1787]Mimi nilikaa miezi 6 ndo nikapewa utamu