Unatakiwa ukae kwa muda gani kwenye penzi jipya kabla hamjapeana utamu?

Naulizwa

Muulizaji: money penny, unatakiwa ukae muda gani (siku/miezi mingapi) na mpenzi wako kwenye penzi jipya kabla hamjafanya mapenzi?

Nisije nikalala nae mapema nikakimbiwa. Nisije nikamkazia sana akakimbia, nifanyaje?

Haya mje mumsaidie mwenzenu.
Mnatakiwa kupeana utamu baada ya kufunga ndoa na si vinginevyo.
 
ymwenyewe unajiona kiduuume maskini!
Hapana sio sifa wala nini ila kama kitu nnachokitaka mimi kinatokea muda nnaoutaka mimi and the trend goes on and on nasema alhamdulilah everything is cool with me …so i give zero fwucks and i just go with the flow…
 
ila hai guarantee kuwa huyu demu unamuaoa sio?
 
My dear huwa haipo hivyo kwa wanaume, Mwanaume ni tofauti sana na mwanamke mwanaume yeye akitaka jambo lake litokee anapambana nalo titfotat likitokea ndio mengine tutajua mbele kwa mbele, wanaume wengi wapo kwenye mahusiano SERIOUS na watu waliodhan wanatoumba wanakimbia…,
 
DONT TRY THIS AT HOME!
 
BAdo hujasema
huyo uliemtomb.a umemuoa?
 
Zikivuka saa 24 bhas inakuwa boring in the end...

Nenda na wimbi linavyokuja.. Ukizubaa linakupita... Kifuatacho maigizo
 
Back
Top Bottom