Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Na hawa watu wasiojulikana sisi tunaoandika kule siasani ni lazima tuwe extra careful au unaweza kutekwa mchana kweupe usionekane tena. Kuna wakati huwa namshukuru Mwenyezi Mungu kuna watu humu ilikuwa karibu niwafahamu kwa karibu lakini chale ZIKACHEZA!!!
Umakini ni muhimu
 
Yaani ukutane na jf member wa humu wenye magari, madem wazuri, wanaishi ughaibuni, Kwa siku 300k kama matumizi nayo kajibana
Aisee hiyo siku nyuzi zitakuwa nyingi sana
😂😂😂😂😂😂 kwa nini mkuu
 
kushare idea mbalimbali pia kufamiana sio dhambi

JF ufanyaji kazi wake umetujengea kutokufahamiana isipokua pale imebidi.

Kwamba huko mtaani hakuna watu wa kubadilishana idea mbalimbali mkuu???

Kikubwa tu uwe makini itakapotokea unakutana na huyo unaetamani kukutana nae.

Wakati huohuo ukiitilia maanani signature ya Watu8
 
Back
Top Bottom