Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
-
- #81
ni vizuri kufunguka ili unayetamani kukutana naye ajueEndelea kutamani kukutana wakati wenzako wanataka kukutana nao na wanakutana.
If wishes were horses, beggars would ride.
Sure mkuu ni maamuz tu [emoji23][emoji23]Endelea kutamani kukutana wakati wenzako wanataka kukutana nao na wanakutana.
If wishes were horses, beggars would ride.
yupi huyo mkuuπππππWewe mtu wa kusema haya ni mmoja tu humu ndani, mzee wa miongozo ni mmoja tu [emoji23][emoji23]
Saa.. Kama mida bwaaaxπMtumaini Mungu [emoji4]
ππππππsawa mkuuVile nitaringa na kujivunia siku nikikutana na AnkaliπππView attachment 1972341
ndio mkuu πππππ ni muhimu sanaKabisa Mkuu kuna watu wema wengi humu ila uangalifu ni muhimu sana.
Mimi nataka nikutane nao wote.ni vizuri kufunguka ili unayetamani kukutana naye ajue
Una uhakika gani kama ni wanawake?
Miongozo wajipe wenyewengoja waje wakupe muongozoπππππ
Ukimuona utamjua tu hahahayupi huyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli[emoji16]iwe hivyo....ankali na binamu awepo,Vile nitaringa na kujivunia siku nikikutana na Ankali[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1972341
Watu wengi wanaogopa kufichua utambulisho wao
πΆπΆπΆankali na binamu awepo,
Ww huwa ni maarabKweli[emoji16]iwe hivyo....ankali na binamu awepo,
Umakini ni muhimuNa hawa watu wasiojulikana sisi tunaoandika kule siasani ni lazima tuwe extra careful au unaweza kutekwa mchana kweupe usionekane tena. Kuna wakati huwa namshukuru Mwenyezi Mungu kuna watu humu ilikuwa karibu niwafahamu kwa karibu lakini chale ZIKACHEZA!!!
ππππππ kwa nini mkuuYaani ukutane na jf member wa humu wenye magari, madem wazuri, wanaishi ughaibuni, Kwa siku 300k kama matumizi nayo kajibana
Aisee hiyo siku nyuzi zitakuwa nyingi sana
kushare idea mbalimbali pia kufamiana sio dhambi