Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
-
- #101
kweli mkuu nakubaliana na wewe umakini ni muhimu sanaπ€JF ufanyaji wake kazi umetujengea kutokufahamiana isipokua imebidi.
Kwamba huko mtaani hakuna watu wa kubadilishana idea mbalimbali mkuu???
Kikubwa tu uwe makini itakapotokea unakutana kukutana na huyo unaetamani kukutana nae.
Wakati huohuo ukiitilia maanani signature ya Watu8
[emoji1419][emoji124][emoji124][emoji124]
πππππππsawa mkuu
Sinza [emoji38][emoji38]Wapi sasa? [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto mzuri [emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji122]
Niko hapa Bamaga...Sinza ipi?Sinza [emoji38][emoji38]
Thank you baba-chanja ni matumaini yangu hilo litatokea tu siku moja
Kikubwa uzima tu.[emoji120]Thank you baba-chanja ni matumaini yangu hilo litatokea tu siku moja
Kabisa, Mungu atajaliaKikubwa uzima tu.[emoji120]
SiyoWw huwa ni maarab
hakuna masikini humu wote wanamagari na pesaππππππ kwa nini mkuu
Hakuna
MakabuliniNiko hapa Bamaga...Sinza ipi?
Jamaa ana mawazo kama yangu..Aisee naunga mkono hoja ile michezo ya kutekana na matatizo yote ndio huwa yanaanza hivi π€£
Na giza hili??? Tena mida ya wachawi hii?Makabulini
πππππππNa giza hili??? Tena mida ya wachawi hii?
hizo ni porojo mkuuππππππhakuna masikini humu wote wanamagari na pesa
Jina lako la kiarabu kabisaSiyo
amesikiaπππMtumaini Mungu [emoji4]