Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
- #101
kweli mkuu nakubaliana na wewe umakini ni muhimu sana🤝JF ufanyaji wake kazi umetujengea kutokufahamiana isipokua imebidi.
Kwamba huko mtaani hakuna watu wa kubadilishana idea mbalimbali mkuu???
Kikubwa tu uwe makini itakapotokea unakutana kukutana na huyo unaetamani kukutana nae.
Wakati huohuo ukiitilia maanani signature ya Watu8