herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niseme nini kwa habari yako Babe?Ila mimi Ndiyo sipendwi [emoji53][emoji53] [emoji26][emoji26]
Niazime haya mashairi nikamwandikie mtoto wa mtu.Niseme nini kwa habari yako Babe?
Najua unajua namna huu moyo upo kwako..
Na nilivyokumiss.. Unajua ninavyokulalamikia kila iitwapo leo...
Ombi langu: Mwisho wa mwaka huu naomba ufanye namna...
Kwamba kakuhamasisha?Ushantamanisha kuonana, tuonane wapi sasa....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Niazime haya mashairi nikamwandikie mtoto wa mtu.
Kwa kweli hakuna namna[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Request approved Dada.. Fanya kucopy na kupaste tu Mtoto wa Mtu Afurahi..[emoji2]
NB:Halafu naomba tukutane.[emoji23]
Ulishindwa kunitafuta asubuhi jion utaweza ?😂
AkhuuuuuuBei nzuri tu dota, karibu sana.
Tulia wewe nipate tenda, kama hajafunga ndoa na kanzu[emoji1787][emoji1787]
Si unaona vile hupendi maendeleo yangu!![emoji2369][emoji2369][emoji2369]Akhuuuuuu
Vipi mkwe nawe wataka suti? Maana tumealikwa woteee.Hahah nimecheka kizembe sana [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi mkwe nawe wataka suti? Maana tumealikwa woteee.
Mnoooo😁 yani kanitia ndimuKwamba kakuhamasisha?
Hadi wewe mkwe[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hahah hapana, shati na suruali tu vinatosha...mambo ya kuvalishana madera tena kwenye harusi sio
Hivi utazeeka lini?Hupoi wala huboi mpaka lini?au tudanganyane kidogo