Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

Ila mimi Ndiyo sipendwi [emoji53][emoji53] [emoji26][emoji26]
Niseme nini kwa habari yako Babe?
Najua unajua namna huu moyo upo kwako..

Na nilivyokumiss.. Unajua ninavyokulalamikia kila iitwapo leo...
Ombi langu: Mwisho wa mwaka huu naomba ufanye namna...
 
Niseme nini kwa habari yako Babe?
Najua unajua namna huu moyo upo kwako..

Na nilivyokumiss.. Unajua ninavyokulalamikia kila iitwapo leo...
Ombi langu: Mwisho wa mwaka huu naomba ufanye namna...
Niazime haya mashairi nikamwandikie mtoto wa mtu.
 
Back
Top Bottom