Huo ndio uhalisiaPutin the Godfather of the World
Hapo ukute huyo rais wa AU ameenda kuomba msaada dhidi ya uharamia wa Ufaransa na Francophone uko katika makoroni yake ya zamani Afrika ya Magharibi
kwny operation ya Russia ndani ya Uraine kuna maslahi mengi sana ndani yake
ushawishi wa Ufaransa huko Africa Magharibi unapungua daily kutokana na kuongezeka ushawishi wa Russia eneo hilo …Russia imepeleka intelijensia yake ambayo inafanikisha kusambaratisha Jamaa wa IS ambao wanatumiwa na France kuimarisha maslahi yake huko West Africa
hata Mapinduzi ya hivi karibuni huko Ufaransa inaishutumu sana Russia na baadhi ya maeneo Raia walitoka na bendera za Russia kushangilia mapinduzi
biashara za mbolea na ngano kutoka Russia zilikuwa zikifanywa na makampuni ya Magharibi lakini sasa Russia inafanya biashara moja kwa moja na Makampuni ya huko Senegal, Cameroon na maeneo mengine
Russia inakabiliana na Ukoloni mambo leo wa wazungu kwa njia za kisasa