Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1724563830584.jpeg

1724563932946.png
 
Watanganyika jambo pekee wanalothamini ni Simba na Yanga tu.
-Iba kura wataishia kumwachia Mola
  • kata umeme uwezavyo
  • Weka Sheria kandamizi uwezavyo hakuna shida wataishia kulalamikia vyooni tu.
ILA
USIGUSE Simba na Yanga zao, tu

Tena chukua Kodi zao nunua kila goli kwa mamilioni ya fedha hakuna tatizo watafurahi mno.
 
sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Hapo kwako huwa unawakalisha watoto kwenye matofali chini ya maji yamejaa navkuwafundisha?

Hebu kuwa seriaz kidogo mkuu
 
sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Uongo,ni uongo🙄
 
Muoneni huyu!!!

Yaani na wewe unataka kusema ulienda shule?labda kusomea ujinga kujisemea Faizan Fox
 
sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Akili za CCM utazijua tu!
 
ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Umeona mazingira hayo wansyosomea watoto? Au unaandika tu kwa sababu ya roho ya ushetani iliyokujaa ndani yako mkuu?
 
Back
Top Bottom