Miundo mbinu ya elimu ya umma ni jukumu la serikali, hiyo inabaki hivyo.
mkuu unaweza niambia hiyo picha ni ya lini? na wapi? mie nimeiona tangu nikiwa mdogoNa wale waliokalia totari madarasa yao ni yale meupe?
Pale wapo wanapewa story na walimu wao.