Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kinyesi cha pundaZimejaa matope.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinyesi cha pundaZimejaa matope.
kuna majengo meuoe naamini yaho ni madarasa, kukaa chini ya mwembe hatujaanza leo, watoto wamekaa chini ya mti wakiimba nyimbo, wazee wamekaa chini ya miti wakifanya vikao vya kimila, kama ulizaliwa ukakuta kochi kwenu kiti kanisani stuli bar kiti ofisini basi mshukuru mungu na usitukane wasiokuwa navyo, kumbuka kuna wanaoswali barabarani pale msikiti wa kwamtoro kwani na nafasi ndani imejaa haimaanishi ni wapumbavuUmeona mazingira hayo wansyosomea watoto? Au unaandika tu kwa sababu ya roho ya ushetani iliyokujaa ndani yako mkuu?
Usifanye hivyo mkuu,hata Kama unajua kuongea Sana....usifanye hivyo tafadhali....daah!kuna majengo meuoe naamini yaho ni madarasa, kukaa chini ya mwembe hatujaanza leo, watoto wamekaa chini ya mti wakiimba nyimbo, wazee wamekaa chini ya miti wakifanya vikao vya kimila, kama ulizaliwa ukakuta kochi kwenu kiti kanisani stuli bar kiti ofisini basi mshukuru mungu na usitukane wasiokuwa navyo, kumbuka kuna wanaoswali barabarani pale msikiti wa kwamtoro kwani na nafasi ndani imejaa haimaanishi ni wapumbavu
Wenye shida ni wazazi kuamini hapa Kuna kujifunza. Mimi namtoa mtoto shule kwa mazingira haya. Anyway mtaji wa chama pendwa ni umaskini
Atakuambia drama
Wewe akili huna that's it!!!ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Anachezea kwa kuwa hajui kuzitafutaSamia aache mchezo wa kuchezea pesa.
Hao ambao hawakutapanya pesa waliyamaliza matatizo haya!?
Na utakuta wazazi wa hawa watoto ni ccm damu huwaambii kitu
Acha kutumia masaburi, mikutano inafanyika kila siku? Mkutano mtu anaenda kwa hiyari, mkutano ni kwa muda tu maalumu, Darasa ni sehemu rasmi iliyoandaliwa, kwa hiyo kukaa chini kwenye mti ndiyo sehemu rasmi?ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
nisiongee kwa mihemuko kama wewe, ifike sehemu tuwe wakweli jukumu la mtoto kusoma liwe jukumu la mzazi, ukiambua kumpeleka IST au Collosium liwe uamuzi wako, ukitaka mtoto wako akalie pvc marts na recreation hall yenye ac uwe ni uamizi wako lakini usilazimishe serikali ifanye kwendana na matakwa moyo wakoAcha kutumia masaburi, mikutano inafanyika kila siku? Mkutano mtu anaenda kwa hiyari, mkutano ni kwa muda tu maalumu, Darasa ni sehemu rasmi iliyoandaliwa, kwa hiyo kukaa chini kwenye mti ndiyo sehemu rasmi?
Toa ukurutu kichwani
na hawa ndio wataijenga nchi watachunga nchi wewe mwenye uwezo kawaskmeshe Belgium kwenye shule wanayosoma watoto wa LissuNa utakuta wazazi wa hawa watoto ni ccm damu huwaambii kitu
Hio shule inaonekana madarasa hayatoshi kiongozi.ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Miundo mbinu ya elimu ya umma ni jukumu la serikali, hiyo inabaki hivyo.nisiongee kwa mihemuko kama wewe, ifike sehemu tuwe wakweli jukumu la mtoto kusoma liwe jukumu la mzazi, ukiambua kumpeleka IST au Collosium liwe uamuzi wako, ukitaka mtoto wako akalie pvc marts na recreation hall yenye ac uwe ni uamizi wako lakini usilazimishe serikali ifanye kwendana na matakwa moyo wako
Na wale waliokalia totari madarasa yao ni yale meupe?sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Tuliamua kama taifa Rais awe anafanya hivyo na Dola imlinde katika hayo anayoyafanya bila kujali athari Wala faida ya hicho anachokifanya!