Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Miundo mbinu ya elimu ya umma ni jukumu la serikali, hiyo inabaki hivyo.
1724563932946.png
Na wale waliokalia totari madarasa yao ni yale meupe?
Pale wapo wanapewa story na walimu wao.
mkuu unaweza niambia hiyo picha ni ya lini? na wapi? mie nimeiona tangu nikiwa mdogo
 
sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Inawezekama upo sahihi kwa kiasi kikubwa.
Nimeshangaa tu hiyo teaching technic ya kuwakalisha chini kwenye udongo, wanarudi nyumbani wamechafuka ukute hakuna sabuni wala maji ya kufulia nguo. Siku nyingine angalau wawakalishe kwenye majani.
Bado umasikini upo pale pale. Huyo mwalimu na yeye amekaa chini kwenye udongo?
 
Kuna uhalisia kamili japokuwa si kwa picha hiyo.
Kuna shule zipi hapo Dsm watoto hubadirishana madarasa.
Ikifika saa 6 mchana huenda kukaa chini ya mti kuwapisha wenzao. Na hukaa pale na walimu wao, huku walimu wao ndio hukaa kwenye madawati.
Shule hizo zipo wilaya ya ilala jimbo la ukonga.
hili la shift za mchana nadhani lipo kila shule za mjini, na sidhani kama ni tatizo, kuhusu kukaa chini nadhani ni katika kuwaweka watoto salama, wangepaswa kuwa uwanjani wakicheza lakini kwa muda huo nadhani wanazingatia usalama wa watoto na pia kuwa control wasizagae hovyo ukizingatia kuna taharuki ya bwatoto kupotea
 
hili la shift za mchana nadhani lipo kila shule za mjini, na sidhani kama ni tatizo, kuhusu kukaa chini nadhani ni katika kuwaweka watoto salama, wangepaswa kuwa uwanjani wakicheza lakini kwa muda huo nadhani wanazingatia usalama wa watoto na pia kuwa control wasizagae hovyo ukizingatia kuna taharuki ya bwatoto kupotea
Uko sahihi.
Kumbe tunakubaliana kuwa madarasa hayatoshi kulingana na idadi kubwa ya watoto?
 
Ni vigumu Mtoto kuconcentrate na masomo ktk mazingira hayo.
sidhani hapo walikuwa wanasoma, sie tulikaa chini ya miembe wakati wa joto hasa mchana na tulikuwa tunaimba nyimbobau kusikiliza mawaidha ya mwalimu, na tulikuwa tukielewa na,ungumzia mazingira niliyopitia kama hukupitia sidhani kama utakuwa na mtizamo kama wangu
 
Samia aache mchezo wa kuchezea pesa.
hanan huruma kabisa. Hivi /TISS, CDF, IGP, VIONGOZI WA DINI (siyo wale wa ubwabwa na wa miujiza), na wengine wa hivyo hamwambii kuwa mama hii kitu si kizuri, watu wanalalamika kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha! kwa upole tu na urafiki na mama
 
kwanza hii picha ni ya lini? wapi? unaamini hapo walikuwa wanasoma darasani? au mtu kaamua kuwadhalilisha kwa sababu anazozijua yeye, au ujinga wake tu! haingii akilini katika mazingira haya watoto walikuwa wanasoma
Ikibainika kuwa hiyo picha ni ya kweli?! Uta spin vipi au utalikimbia jukwaa kwa leo?!
 
Back
Top Bottom