Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Watanganyika jambo pekee wanalothamini ni Simba na Yanga tu.
-Iba kura wataishia kumwachia Mola
  • kata umeme uwezavyo
  • Weka Sheria kandamizi uwezavyo hakuna shida wataishia kulalamikia vyooni tu.
ILA
USIGUSE Simba na Yanga zao, tu

Tena chukua Kodi zao nunua kila goli kwa mamilioni ya fedha hakuna tatizo watafurahi mno.
 
Hapo kwako huwa unawakalisha watoto kwenye matofali chini ya maji yamejaa navkuwafundisha?

Hebu kuwa seriaz kidogo mkuu
 
Uongo,ni uongo🙄
 
Muoneni huyu!!!

Yaani na wewe unataka kusema ulienda shule?labda kusomea ujinga kujisemea Faizan Fox
 
Akili za CCM utazijua tu!
 
ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Umeona mazingira hayo wansyosomea watoto? Au unaandika tu kwa sababu ya roho ya ushetani iliyokujaa ndani yako mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…