Huna akili.huko si ni kwao lissu mbona hachangishi hela ya kununua ambulance badala yake anachangisha pesa za kununua gari lake binafsi la kutembelea, muwe masikini kwa misimamo ya kipuuzi msingizie serikali
Mtalaumu watu tuu lakini tatizo linatengenezwa na CCM wenyewe ndio ina wafanya watanzania wanaendelea kuwa vilazaTatizo baba wa watoto hao ndiyo huwaambii kitu kuhusu ccm
Inasikitisha sana
Inasikitisha Sana
Mtalaumu watu tuu lakini tatizo linatengenezwa na CCM wenyewe ndio ina wafanya watanzania wanaendelea kuwa vilaza
Mkuu unamtoa alafu unampeleka wapi?
Hapo ndio shule inayopatikana hakuna mbadala
Habari hii ni ya Kenya wazee ..2019 hukoo..Wanayoyafanya hayo maunyama na maukatili wana Maisha mazuri mno! Watoto wao wanaishi kama wapo peponi aisee!
Aisee nitajikomba niwe gelo frend richUsimchimbe Luka... Luka ana koneksheni mwenzako, halafu jamaa ni Baba paroko. Yaani hana demu, hana mke na hamjui mwanamke... (Luka ni bikra) Badala ujipendekeze uwe demu wake, umuonjeshe luka asali anogewe akuoe kabisa na wewe uwe rich wife unamchimba.
Haya usiseme hatukukuambia
Lucas Mwashambwa mchumba huyo... Sema nae, mtunuku makoneksheni mtoto awe rich gelofrendi ππ
Madam una hasira, ila nyie ndo mnawaibiaga CCM kura lakini naamini sio weweπππUmeona mazingira hayo wansyosomea watoto? Au unaandika tu kwa sababu ya roho ya ushetani iliyokujaa ndani yako mkuu?
π€£π€£π€£ π€ Niache bhana!Madam una hasira, ila nyie ndo mnawaibiaga CCM kura lakini naamini sio weweπππ
sikuachiiiππππnyie ndo mnatuingiza hasara, kuna jamaa yangu yuko hapo K.K.K(kimo kijiji Kitulivu) namsemaga kila sikuππππ€£π€£π€£ π€ Niache bhana!
Ni wewe unayesema hivi ukiwa na uelewa mpana wa masuala mengi. Huyo aliyeziweka hizo picha sidhani kama analo lengo zuri.Ni kawaida ya binadamu (hulka)kupambana na 'hali mbaya'...hali ikishakuwa njema/nafuu sio habari tena.
π€£π€£π€£π€£ Tulia bhanasikuachiiiππππnyie ndo mnatuingiza hasara, kuna jamaa yangu yuko hapo K.K.K(kimo kijiji Kitulivu) namsemaga kila sikuπππ
πππππ€£π€£π€£π€£ Tulia bhana
yaani we acha tu mtu anachukua habari za kilifi kenya anatuletea hapa halafu anashupaza shingo ka degedege, au ndo zinatafutwa picha za kumpelekea balozi wa us,Ni wewe unayesema hivi ukiwa na uelewa mpana wa masuala mengi. Huyo aliyeziweka hizo picha sidhani kama analo lengo zuri.
Yanafanyika mengi sana mazuri yenye hadhi ya kupigwa picha na kuzionyesha kwenye mitandao ya habari kama huu tunaotumia.
Kuweka picha zenye lengo la kujicheka sisi wenyewe ni utoto fulani.
wewe nawe ngoja afande haji aje akukalie vibayaUmeona Zanzibar mtoto anakaa chini? pesa zinachotwa bara zinapelekwa Zanzibar
Namkaribishawewe nawe ngoja afande haji aje akukalie vibaya
Nampeleka nyumbani atajifunza kuchunga ngombe na kukamua maziwa. Hizi skills hata waliofika ngazi ya PhD hawana japo wanalipia maziwa kila sikuMkuu unamtoa alafu unampeleka wapi?
Hapo ndio shule inayopatikana hakuna mbadala
Itafikia hatua hata wezi na wabadhirifu wakubwa wataitwa huko kutambulishwa maana wameshindwa kuwabana10 best students huwa wanaitwa wizarani nakupewa zawadi, hata mandonga aliitwa bungeni na akazawadiwa alivyoshinda,
kwa.mwonekano wamekaa kama wameshurutishwa hawako happy, kwa muda huo wanapaswa kuwa wanacheza uwanjani, kwa umri hawa ni chekechea, kimsingi katika shule zetu hamna madarasa ya chekechea, kwani hawapo katika mfumo wa kitaaluma, maranyingi hu share madarasa na darasa la kwanza, kwahiyo kuwepo chini ya mti sio kwa ajili ya kukosa madarasa wala dawati, ni carticulam ya shuleView attachment 3079841
Lakini hiiπ inaonyesha ni Tanzania Watoto kusomea chini yaa Mwembe.