Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hata izo pesa za goli pia kuna maisha zina yaokoa.Hata ukienda Mwananyamara unaokoa maisha ya watu wengi
Akili huna au pengine zimeganda then kama unaona ni chama cha mambumbumbu richa ya jitihada za Mh Rais kuhamasisha michezo basi wewe utakuwa na matatizo yako binafsiSoka la Tanzania kukua au wafuasi wa chama cha mambumbumbu kuongezeka kwa kupitia upumbavu wa mpira wa Simba na Yanga!!??
Wanapewa kwasababu wanapata ushindi wakiwa ndani ya timu ya Tanzania kwaio heshima inabaki Tanzania acha wapewe motisha ili na sisi soka letu liwe na hadhi kwasababu timu zitakua zinashinda sana kwenye mashindano ya kimataifaHilo mm nimeliona tangu zamani Sana!! Sijajua lengo ni nini!? Sijui ni kuwapumbaza wa Tz au vipi!? Wachezajinwa nje Wana mikataba ya mamilioni ,Wana posho zao!! Kwann wapewe mamilion yanwalipa Kodi watz!? Hawana maji wanakaa chini!! Aisee this is pathetic [emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa Kenya wanajitambua kwa kipi ndugu na wakati Kenya maisha ni magumu sana kuliko ata Bongo hapa.Hivi ? Hili likifanyika Kwa watu wanaojitambua kama Kenya na Nigeria moto ungewaka!!
Kura kwanza, viongozi wetu kila uchaguzi ukiisha wanafikiria kura za ichaguzi ujao, ndicho tunachokiona tangu aingie madarakani amekuwa akifanya kampeni za uchaguzi ujao na ujuavyo Simba na Yanga ndizo zimewabeba watanzania wote na kuwaongezea ujinga tumepewa kilevi kipya cha redio zote zifanye uchambuzi wa mpira Simba na Yanga.This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
alaf ww n mzma kwelKwani huoni kwamba pesa zinawapa motisha wachezaji na io itapelekea soka la Tanzania kukua
Huwezi kusema soka la nini na wakati io ni ajira ya watu tena wanaendesha familia zao kwa kupitia mpira na mpira unaingiza pato la taifa kwaio kama hujui faida za mpira nakupa pole , na kuhusu mtu kua omba omba wengine ni hulka zao tu hawataki kufanya kazi japo wapo wachache wenye ulemavu ila na wao sio kwamba hawana nyenzo za kujikwamua sema ni uvivu tu wanapenda mselelekoalaf ww n mzma kwel
m nais una utindio wa akili
sasa soka la nn ilhal nchi ina maskini weng kulko wenye kpato kikubwa embu pita ndanndan mikoan uko na hata hata Dar mnaposema jiji mama muone hal halis
mfano Dodoma ombaomba n weng sana yan kias kwamba daaaah
kiufup sera za nchi ziwe fair kwa wananch wa chini # NCHI TAJIRI ILA WANANCHI MAAFA by 20 percent #
ajabu! tafuta picha ya watoot wamekaa chini uiweke italeta msisitizo zaidi! taarifa yako itanogaThis is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
mkuu, mumbuka hao wachezaji wana familia, mpira ndio ajira zao na ni industry kubwa sana, ulishajiuliza hawa vijana wachezaji akina ali kamwe magoma hersi usingekuwa mpira wangekuwa wanajishughulisha na nini? ulishajiuliza kwa mwaka ni pesa kiasi gani nchi inapata kutoka kwenye tasnia ya mpira? ni kipi unadhani hakiko sawa kwa pesa kwenda kuzawadia vijana hawa wanaohangaika kukimbiza na kugimbania kipande cha ngozi ya ngombe, wewe ambae hauchezi na hauzawadii mchezaji umepiga hatua ganibya kimaendeleo?This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Umesahau mfuko wake pia ni kodi yako?Mm nachotaka kujua hizi pesa ni hizi hizi nazolipa Kodi Mimi au zinatoka kwenye mfuko wake?
Babe acha uyanga na usimba. Focus kwenye hoja ya misuse of public funds.Na nyie Simba chezeni boli la kueleweka mtumiwe kwenye Siasa..!
Mnacheza vibaya halafu wivu tuu
Nimemjibu huyo angalia pumba aliyoiandikaBabe acha uyanga na usimba. Focus kwenye hoja ya misuse of public funds.
sasa s wanalipwa. mishaala ya kutosha aiseeeeHuwezi kusema soka la nini na wakati io ni ajira ya watu tena wanaendesha familia zao kwa kupitia mpira na mpira unaingiza pato la taifa kwaio kama hujui faida za mpira nakupa pole , na kuhusu mtu kua omba omba wengine ni hulka zao tu hawataki kufanya kazi japo wapo wachache wenye ulemavu ila na wao sio kwamba hawana nyenzo za kujikwamua sema ni uvivu tu wanapenda mseleleko
SadHuku Lucas Mwashambwa anakosa hata hela ya vocha
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Yeye anachotaka ni kuwa Rais tu hivyo anajitahidi kuwavuta machawa kadri awezavyo hayo mambo mengine hana habari nayo.
Wazazi wao wanafanya nini? Wanashindwaje hata dawati?This is misuse of public fund aisee. Hivi kabisa unakua uko sawa kiakili unatoa mil 50 unaipa timu wakati kuna watoto huko hawana vyoo? Nani anamshauri Rais ujinga huu? Hivi anafanya hivi akiwa amelenga impact yake nini? Yani nchi hii ambayo wamama wajawazito wanajifungulia chini hakuna vitanda, hospital hazina dawa, kuna maeneo hayajafikiwa na maji alaf unatoa millions of money unampa Ghalib na Mohamed Dewj.
Hivi mbona hili hata halihitaji degree kujua kama kinachofanyika ni utopolo? Hivi anajisikiaje mtanzania ambaye serikali yake imefuta toto afya card et kuna mtu akifunga goli anapata mil 10.
Wakati nafanya research yangu nilifanya Newala DC aisee yani unakuta idara karibu zote ndani ya Halmashauri hakuna hata moja yenye gari. Yani unakuta afisa elimu hana gari, anaendaje ndani huko? Afisa mifugo wqla afisa kilimo hakuna mwenye gari. Sasa unajiuliza hao wakulima wanafikiwaje? Mara paap unasikia et leo katoa Mil 30 kuipa Yanga. Dah hii nchi kuna mahali tilimkosea Mungu ameamua kutupa adhabu kwa kutuletea huyu mama
Huyu mama nchi imemshinda aisee. Sijui nani alimpendekeza awe makamu wa Rais. Ametuletea shida zote hizi
Ndio mishahara wanayo na io pia ni motisha kwani mshahara si ni kazi yao kwaio hutaki wapate motishasasa s wanalipwa. mishaala ya kutosha aiseeee
emb fkiria out of your bound sio unaongea kwa uchawa