hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Nimeipenda hii. Hasa kiroho!Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
HakikaMm nadhani kama unaona kwa namna yoyote ile hakuna kiongozi yeyote awe wa ccm au vyama pinzani atakayeshiriki nawe kumega keki ya taifa, aisee n bora uwe mpole tuu mana hapa bongo utaumizwa afu wale waliokuwa wanakupa sapoti watakukimbia.
UOGA WAKO, kwani utaishi milele? lazima kuwa na pa kuanzia ili wengne wafuate na mbinu za kujilinda zianzishwe. Lazima ku sacrifice life sometimes if needs to beSawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Wapinzani ndio walimteka?Hilo ndiyo tatizo la kuwa na "upinzani" usiokuwa na sera wala mipango inayojulikana.
Wapoinzani wanadakia tukio lolote wanapinga tu, hata la maana wanalipinga, matokeao ndiyo kutukana kijinga.
Upinzqni uwe na sera na taratibu za nini wanakipinga au nini wao watakifanya mbadala. Hakuna amabae anajuwa kipo anambie.
Hili hata kwenye maandamano na mikutano yao uchwara nimelitafuta sijaliona. Sijasikia wanafanya maandamano ili iweje? Wafanikishe nini?
Mikutano ya hadhara ni kama kila kukicha mbowe anajitambulisha yeye tu, lakjini sijamsikia akisema anachokitaka zaidi ya kurukia matukio ya siku hiyo au jana yake.
Ni ujinga tu na wajinga ndiyo wanakuwa wa pinzani kwa mihemko na sio kwa sera wala mipango.
Katekwa na nani?Wapinzani ndio walimteka?
Kuna watu wajinga sana hii nchi.
Wanachochewa na wahuni wengi wao wapo nje ya nchi wengine system haiwagusi kwa kuwa baba zao wamo humo!Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kwa hiyo hoja yako watu wasiongee yanayolisibu taifa🫠Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Mafisi😁Katekwa na nani?
Wewe ndio Moja katika makubwa jinga ya hii nchiHilo ndiyo tatizo la kuwa na "upinzani" usiokuwa na sera wala mipango inayojulikana.
Wapoinzani wanadakia tukio lolote wanapinga tu, hata la maana wanalipinga, matokeao ndiyo kutukana kijinga.
Upinzqni uwe na sera na taratibu za nini wanakipinga au nini wao watakifanya mbadala. Hakuna amabae anajuwa kipo anambie.
Hili hata kwenye maandamano na mikutano yao uchwara nimelitafuta sijaliona. Sijasikia wanafanya maandamano ili iweje? Wafanikishe nini?
Mikutano ya hadhara ni kama kila kukicha mbowe anajitambulisha yeye tu, lakjini sijamsikia akisema anachokitaka zaidi ya kurukia matukio ya siku hiyo au jana yake.
Ni ujinga tu na wajinga ndiyo wanakuwa wa pinzani kwa mihemko na sio kwa sera wala mipango.
Hakuna asiyeogopa kufa especially kifo cha kutafuta mwenyewe, bahati mbaya unaweza usife ila ukapata maumivu yatakayokufanya usione thamani ya maisha, Yesu alikufa lakini hakumaliza siku tatu akafufuka tena , sasa wewe unaiga na huna uhakika wa kufufuka fews days later.Vijana kama hawa hawana mchango kwa taifa. Kijana unaogopa kufa? Kwani wanaowauwa wenzao nao wanahaki miliki ya dunia hili? Yesu alikufa ili wengine wapone.
Hakika , na wabongo huwa hawana ushirikiano kabisa kwenye msala unaokuhusu hata waliokuwa wanakusifia watakukana hadharaniMm nadhani kama unaona kwa namna yoyote ile hakuna kiongozi yeyote awe wa ccm au vyama pinzani atakayeshiriki nawe kumega keki ya taifa, aisee n bora uwe mpole tuu mana hapa bongo utaumizwa afu wale waliokuwa wanakupa sapoti watakukimbia.
Hakuna atayeishi milele lakini kuna ulazima gani wa kutafuta kifo/maisha magumu , basi wewe sio muoga mbona hujitokezi wazi wazi mnawajaza upepo wenzenu mitandaoni wanakamatwa mnaishia mitini.kwani utaishi milele?