BWANA YESU KRISTO Mwana wa MUNGU alisema hivi;
"kabla ya kwenda vitani, hesabu gharama kwanza, jiulize adui yako ana silaha gani, ana askari wangapi, ana uwezo kifedha kiasi gani na mbinu zake za kivita ni zipi. Ukiona unamzidi adui yako kwa kila kitu basi nenda vitani kapigane naye.
Lakini ukiona adui yako anakuzidi kwa kila kitu, basi usiende vitani, badala yake nenda kwa adui yako kwa ajili ya kutafuta amani na suluhisho.
Hesabu gharama kwanza kabla ya kufanya chochote kile.
Unaanza kuitukana Serikali kabla ya kuipima gharama kama unao uwezo wa kushindana nayo. Ooh shauri yako, utanyofolewa "mbupu".