ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni kweli kabisa,nimewaasa Vijana kwmaba Upinzani ni Ligi Sasa huna uwezo wa kushindana unashindanaje? Maana Unaaeza.kuwa defeated Kwa hasara na mateso makubwa ukajuta mazima.Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Ukraine anapambana Kwa sababu ana support,kama huna usifanye kuwa tuu mnyonge