Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
friends,Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kwahiyo waliojitolea na kutufikisha hapa tulipo baafa ya uhuru walikuwa vichaa!Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Nitakupa mfano mmoja;Mkuu ndio adui yetu ametufanyia uovu mwingi,ila kila jambo lina wakati wake.Ufaransa kwa mfano waliwaibia Wakinabe,Wanaija na Wamali for decades,lakini muda ulipowadia they were kicked out.So CCM muda wao utafika,we will eventually kick them out.
Wewe pia hapo ni ushahidi tosha kuwa wabongo wako vizuri kutype tu lakini hawatakuunga mkono kwenye magumu , wakenya na wabongo tofauti sana , kwa kuielewa nature ya watanzania lazima utumie akili vinginevyo unajihatarisha tu pia thread yangu imelenga kusisitiza umhimu wa kuwa na ulinzi shirikishi kabla hujaanza kufukua makaburiYaani nikiangalia vijana walichokifanya Kenya mpaka mswada umeahirishwa afu nikarudi kusoma mikojo Yako naelewa kwanini ilibidi mkwawa ajiue mwenyewe baada ya mapambano yamda mrefu nawajarumani,,,,,,tunavijana wengi wanaokojoa kwenye makopo usiku kama ww ndio maana Leo nchi inaongozwa kifalafala na bimdashi afu ni ngonjera deile zakumsifu,,,,,,siku ukiacha kukojoa kwenye makopo utajua ulikuwa msenge
akina nani, unadhani Nyerere alikuwa mpinzani kama hawa wapinzani wa Twitter, hakuna speech hata moja Nyerere amewahi kuwatukana wakati akiomba uhuru , Usifanye comparison jikite kwenye hojaKwahiyo waliojitolea na kutufikisha hapa tulipo baafa ya uhuru walikuwa vichaa!
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Inquries za hajat! Huko Mecca unaendaga kufanya nini?! Kupeleka sura?Katekwa na nani?
Kwa hiyo unahakikishia umma kuwa hawa ndugu zetu mnaowafanyia unyama huu kumbe ni kwa kuwa "mnadhani" hawana sera na wanapinga kila kitu cha kwenu?Hilo ndiyo tatizo la kuwa na "upinzani" usiokuwa na sera wala mipango inayojulikana.
Wapoinzani wanadakia tukio lolote wanapinga tu, hata la maana wanalipinga, matokeao ndiyo kutukana kijinga.
Upinzqni uwe na sera na taratibu za nini wanakipinga au nini wao watakifanya mbadala. Hakuna amabae anajuwa kipo anambie.
Hili hata kwenye maandamano na mikutano yao uchwara nimelitafuta sijaliona. Sijasikia wanafanya maandamano ili iweje? Wafanikishe nini?
Mikutano ya hadhara ni kama kila kukicha mbowe anajitambulisha yeye tu, lakjini sijamsikia akisema anachokitaka zaidi ya kurukia matukio ya siku hiyo au jana yake.
Ni ujinga tu na wajinga ndiyo wanakuwa wa pinzani kwa mihemko na sio kwa sera wala mipango.
We mwenyewe umeandika kijinga na kwa MihemkoHilo ndiyo tatizo la kuwa na "upinzani" usiokuwa na sera wala mipango inayojulikana.
Wapoinzani wanadakia tukio lolote wanapinga tu, hata la maana wanalipinga, matokeao ndiyo kutukana kijinga.
Upinzqni uwe na sera na taratibu za nini wanakipinga au nini wao watakifanya mbadala. Hakuna amabae anajuwa kipo anambie.
Hili hata kwenye maandamano na mikutano yao uchwara nimelitafuta sijaliona. Sijasikia wanafanya maandamano ili iweje? Wafanikishe nini?
Mikutano ya hadhara ni kama kila kukicha mbowe anajitambulisha yeye tu, lakjini sijamsikia akisema anachokitaka zaidi ya kurukia matukio ya siku hiyo au jana yake.
Ni ujinga tu na wajinga ndiyo wanakuwa wa pinzani kwa mihemko na sio kwa sera wala mipango.
Asituuzie Uoga ,kufa ,utakufa tu,no death as accidents it's what destinated.Umetumwa na maccm kila mmoja akisema hivo hii nchi itakuwaje si vituko tu acha kujazana uoga
"Unyama" upi huo? mbina unaongea kama upo chooni? Usiogope, sema usikike.Kwa hiyo unahakikishia umma kuwa hawa ndugu zetu mnaowafanyia unyama huu kumbe ni kwa kuwa "mnadhani" hawana sera na wanapinga kila kitu cha kwenu?
Kama wanachokipinga kwenu ni sahihi, why hurt, torture kill them unlawfully?
Huoni kuwa watu wanaotumia njia hii maana yake wao ndiyo hasa sera zao na kila wafanyacho ni hovyo na hakifai kuliwa na jamii na hivyo wakikosolewa huona kuwa wako exposed na kuficha hilo hujaribu kumwondoa kwenye picha kila wanayedhani ni kikwazo kwao..??
I didn't think kuwa, wewe bibie FaizaFoxy unaweza kuwa na fikra za namna hiI...?
Sio lazima tufanane na hao ulio wataja,we are a different nation and people.Tulimpata JPM kwa tamaa zao wakamfisha.Lakini we have Niger,Mali and Burkina Faso who now have leaders committed to the Citizenry.Ni hivii,hatuwezi kukata tamaa eti kwa vile wengine wameshindwa,that will be lunacy.Nitakupa mfano mmoja;
Kenya waliiondoa KANU, je, akina Ruto na wenzake sasa hivi hawaibi? Je, Kenya wametatua matatizo yao baada ya KANU au shida ziko pale pale. Rejea maandamano ya Gen Z.
Hapo sijakupa mfano wa Zambia, Zimbabwe, Malawi nk.
CCM na vyama vingine vya upinzani hawana tofauti, wote ni mbwa mwitu tofauti ni rangi tu ya manyoya.
Kutetea na kuilinda nchi yako na watu wake ni wajibu wako.Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Mwalimu Nyerere ndiye aliyetetea vyama vingi pamoja na kwamba 80℅ walikataa.CCM misingi yake toka mwanzo ni kutokubali kukosolewa. Misingi ilijengwa makusudi.
Kuna kipindi flani miaka ya nyuma around 2000, Mzee wangu alisikia nataka nirudi Bongo kugombea ubunge kwa tiketi ya upinzani. Mzee aliniandikia barua fupi sana, akasema huwezi kuwa Mpinzani Tanzania na ukawa salama,lazima utazongwa sana kama una mali utafilisiwa na hakuna rangi utaacha kuiona lakini pia utauwawa. Akasema mwasisi wa taifa hili hakutaka kupingwa, hivyo akatengeneza taifa hofu na "system" isiyopingwa pamoja na kwamba alikuwa yeye binafsi anapenda uhuru wa kujieleza na kuhoji, ila uhuru huo alijipa yeye sio mtu mwingine. Lakini yote haya yanamwisho na yatachukua miaka mingi. Aliishia hapo mzee wangu.
Hii nchi kuipinga sharti ujikane nafsi yako.
Kumbe ndo hivyo?Mm nadhani kama unaona kwa namna yoyote ile hakuna kiongozi yeyote awe wa ccm au vyama pinzani atakayeshiriki nawe kumega keki ya taifa, aisee n bora uwe mpole tuu mana hapa bongo utaumizwa afu wale waliokuwa wanakupa sapoti watakukimbia.
Hiyo data ya 80% ilipatikanaje na hiyo 20% ilipatikanaje Huwa najiuliza. Mbona mm sikuhojiwa nikaelimishwa nikapiga kura huenda ingekuwa 21%. Mm naamini Mzee aliamua kukubali kutokana na siasa za nchi nyingi zilipofikia.Mwalimu Nyerere ndiye aliyetetea vyama vingi pamoja na kwamba 80℅ walikataa.
Waliopigania uhuru kutoka kwa mkoloni walikuwa na ulinzi gani? Huna hoja mkuu, hiki hakika ni kitisho.Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.