Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Mwalimu Nyerere ndiye aliyetetea vyama vingi pamoja na kwamba 80℅ walikataa.
Haya mambo ya kuteka, kutesana, kupelekana uhamishoni "Exile", kuwekwa sero maalum wenda wewe ndo unayajua leo. Bora leo wewe upo kwenye utandawazi na ndio maana utaona mtu ametekwa na umejua na umma umefahamu. Tumetoka mbali. 😁