hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.