Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

Mwalimu Nyerere ndiye aliyetetea vyama vingi pamoja na kwamba 80℅ walikataa.

Haya mambo ya kuteka, kutesana, kupelekana uhamishoni "Exile", kuwekwa sero maalum wenda wewe ndo unayajua leo. Bora leo wewe upo kwenye utandawazi na ndio maana utaona mtu ametekwa na umejua na umma umefahamu. Tumetoka mbali. 😁
 
Kwanza unaelimu gani?
Hivi unaweza kweli ukalisimamia jambo lolote katika familia achalia mbali nafsi yako mwenyewe?

TAfuta hata ujisomee historia ya dunia, ama soma watu maarufu tu walipigania haki za raia wao uone kama walikuwa na akili kama zako.
Mbegu ni lazima ife ili itoe uzao, inafukiwa chini, itapata joto, maji itaota itaendelea kupata jua na mvua hatimae kukupatia mazao.

Kama huwezi kupambania haki heri ukae kimya uendelee na unachokipata bila kujali ni kwa njia gani
 
Haya mambo ya kuteka, kutesana, kupelekana uhamishoni "Exile", kuwekwa sero maalum wenda wewe ndo unayajua leo. Bora leo wewe upo kwenye utandawazi na ndio maana utaona mtu ametekwa na umejua na umma umefahamu. Tumetoka mbali. 😁
Neno au tendo jema ni jema tu bila kuangalia limetoka kwa nani (muovu au mwema).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…