Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #221
Basi weekend hii nitafika hapo jirani na B. Bar nije niufate maana na mimi ni kijana wa near thirty's lakini bald ishanianza kwa kasi na nishawahi tumia dawa hivi hivi za kupaka bila mafanikio ndio maana nikawa mpole kwanza katika hili.
ebu tuache masihara jamani, hii dawa inatibu kipara kweli au inarefusha nywele kwa walio na nywele..
kama nywele zangu zinakua kama za robben zitarudi kweli?
Slim5 nimetoka kuongea na Bi Zainab Tamim punde tu inshallah si muda mrefu nitapata utaratibu wa kuinunua dawa,kaniambia you will see results within first month,i will try and tell you kama ni utapeli at least nitapata muda wa nusu saa wa kujipaka tope to have quality time with a family infront of a tv!Nina Kipara na nimeshatumia bidhaa nyingi lkn wapi, bila shaka we ni muislam na ni ijumaa leo ndani ya mwezi mtukufu, unauhakika na hichi ulichoweka hapa, watu tumeshatapeliwa sana na vipara vyetu vikageuzwa mitaji aisee
He! kumbe wewe tuko sote huku mchambawima?Ahsante Mama,
Zanzibar sehemu gani niifate?
Slim5 nimetoka kuongea na Bi Zainab Tamim punde tu inshallah si muda mrefu nitapata utaratibu wa kuinunua dawa,kaniambia you will see results within first month,i will try and tell you kama ni utapeli at least nitapata muda wa nusu saa wa kujipaka tope to have quality time with a family infront of a tv!
But kwa jinsi anavyoongea nahisi ni mtu mwema hatatuonea sie vipara,nina hamu ya kunyoa kiduku mkuu!
Wengi wanauliza kuhusu bei za Aunt Zainab's Natural Super Clay, bei ni kama zifuatazo ukinunua kutoka kwetu:
Recommended retail Price ni TZS 3,500 kwa mkebe.
Wholesale Price ni TZS 3,000 kwa mkebe ( kuanzia mikebe 12).
Wasambazaji bei yao ni ile ile wanayonunuwa siku zote.
Ili nywele zianze nahitaji kutumia mikebe mingapi,maana dah!hatari huu ualaza unanifanya ninyoe kipara kila wakati bila kupenda,nichek kwenye avatar hapo,yan majanga!
Je kikomo cha matumizi ni wapi ,namaanisha pale mgojwa hatohitaji tena kutumia hiyo mbolea ya kichwa!nifahamishe nna hamu ya kunyoa kiduku watu tuna miaka 30 utafikri hamsini na vipara vyetu vinavyong'aa kama reflector za trafick!Wengi kuanzia mkebe wa kwanza tu wanaanza kuona tofauti na nywele zinaanza kurudi, matokeo mazuri kabisa.
Ninashauri dozi ya kwanza iwe mikebe minne mpaka sita kutumiwa kila siku mfululizo, mara moja kwa siku, ni vyema usiku wakati umepumzika na ukikauka unaweza kulala nao, ukikauka hauchafui mashuka wala foronya, ukiwa mbichi utaweka alama ya udongo kwenye mashuka lakini ukiyafua unatoka, hauachi madoa.
Karibu sana uutumie utafurahi. Ni 100% natural.
Je kikomo cha matumizi ni wapi ,namaanisha pale mgojwa hatohitaji tena kutumia hiyo mbolea ya kichwa!nifahamishe nna hamu ya kunyoa kiduku watu tuna miaka 30 utafikri hamsini na vipara vyetu vinavyong'aa kama reflector za trafick!
Je kikomo cha matumizi ni wapi ,namaanisha pale mgojwa hatohitaji tena kutumia hiyo mbolea ya kichwa!nifahamishe nna hamu ya kunyoa kiduku watu tuna miaka 30 utafikri hamsini na vipara vyetu vinavyong'aa kama reflector za trafick!
Ahsante Mama,
Zanzibar sehemu gani niifate?
Nimeanza na izo tano..nikiona maendeleo mazuri ndawafahamisha wanajamii
nakushauri tu uwe mwangalifu wasije wajanja wakachukua jina la biashara yako wakaanza kuchakakua.