Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #61
Hujanielewa nadhani...nimemaanisha kwamba uedit post yako na uweke picha zingine zinazoonekana vyema.
Pointi yangu hapa ni kwamba post inaweza kuwa edited...ukaongeza picha, kuongeza maneno au kupunguza nk.
Kweli ni mmoja zile picha, angalieni kichwa chake
NI mafuta ya kupaka?
Sinza gani mie nautaka maana siku hiz ngozi yangu siilewi
Ndio naelewa, haya ni maumbile ya binadamu na kuna watu asili yao hawatoki vipara lakini wengine miaka 18 tu kimeshatoka kulingana na asili za familia wanazotokea. Sasa kwa wale wa asili hiyo ni kwa nini uhangaike nacho!?Ni nani aliesema kuwa kipara ni laana?
Kuna wenye matatizo ya nywele kutoka bila kupenda, kuna wenye matatizo ya nywele kutokuwa na afya na kuna wasiopenda kuwa vipara. Ni mtazamo wa mtu tu na mapendezo yake. Huwezi kulazimisha kila mtu awe na fikra kama zako.
Jiulize wewe binafsi aliekwambia hayo ulioyaandika ni nani?
Huyo ni mmoja akija nimabia apie tena akae angle kama ile ya before, ili watu wamuone vizuri.
Nimejaribu namba ulionipa whatsapp inakataa, ngoja nimep mume wangu na yeye ajaribu kukutumia kwa simu yake.
Ok poa ahsante nitakutafuta mamii
Nimeshaziona tayari
Yakikukuta hautaongea hivi, mshukuru MUNGU tu kwa alivyokuumbaNdio naelewa, haya ni maumbile ya binadamu na kuna watu asili yao hawatoki vipara lakini wengine miaka 18 tu kimeshatoka kulingana na asili za familia wanazotokea. Sasa kwa wale wa asili hiyo ni kwa nini uhangaike nacho!?
Hii si ni sawa na watu wafupi kama Wajapan kutaka warefuke kama Waholanzi!?
Kwa hii sawa na nakubaliana nawe kwa 100% lakini si kwa vile vya asili maana hivyo ni sawa na kuishi pwani ya tropical then ukachukia joto!Wengine nywele zinadondoka kutokana na magonjwa au matumizi ya dawa hayo nayo ni laana?
Mkuu CMBC Mlalahoi, kama Mungu kakuumba na kipara je!? Mimi mwenyewe kinanilengalenga na kiukweli sikipendi lakini sioni kama kuna short cut maana naogopa isije kuwa mithiri ya story nikiyoisikia BBC ya wadada wa Congo DRC na maumbile/makalio.Yakikukuta hautaongea hivi, mshukuru MUNGU tu kwa alivyokuumba
Zainab tuelekeze jinisi ya kutumia dawa isipootesha nywele sitakulaumu maana hata za wazungu kama za malaria nanunua 10,000 na haiponyeshi malaria sembuse 5000???
Songea?
Mkuu CMBC Mlalahoi, kama Mungu kakuumba na kipara je!? Mimi mwenyewe kinanilengalenga na kiukweli sikipendi lakini sioni kama kuna short cut maana naogopa isije kuwa mithiri ya story nikiyoisikia BBC ya wadada wa Congo DRC na maumbile/makalio.
Jana usiku nimefurahishwa sana na comment a ManMoker hapo juu.
Mwanangu nimemuonesha post ya manmkoer, kafurahi sana. Anasema sasa hata yeye anaamini kuwa kweli nywele zinaota kwa kasi mpaka watu hawaamini kuwa huyo ni yeye na sio watu tofauti.
Amecheka sana pale aliposoma kuwa hiyo picha ya kwanza ni ya mzee na ya pili ni ya kijana.
Ninawahakikishia huyo ni mtu mmoja, kabla na baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa muda mfupi sana.
Ninamtumia ManMoker kwa pm picha kamili zinazoonesha sura ya mwanangu kabla na baada ili amuone vizuri kwa kumuhakikishia tu kuwa huyo mtu mmoja.