Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #81
Mkuu CMBC Mlalahoi, kama Mungu kakuumba na kipara je!? Mimi mwenyewe kinanilengalenga na kiukweli sikipendi lakini sioni kama kuna short cut maana naogopa isije kuwa mithiri ya story nikiyoisikia BBC ya wadada wa Congo DRC na maumbile/makalio.
lakini pia jamii ina amini kwamba nyinyi wenye vipara ndio mna akili nyingi kushinda tusio na vipara.hahahahah.Kama ni kweli sawa, ila nadhani watu wenye vipara tunaongoza kwa kutapeliwa
Sijapata hizo picha. Em tuma tena..
Ahsante Mama,
Zanzibar sehemu gani niifate?
Songea hatuna wakala kwa sasa lakini ongea na wakala wetu wa Mbeya anaitwa Haule - 0756994850 na 0784658349
Anaweza kukutumia kutokea Mbeya.
lakini pia jamii ina amini kwamba nyinyi wenye vipara ndio mna akili nyingi kushinda tusio na vipara.hahahahah.
mama Zainab Tamim naunga mkono juhudi na bidii yako.
lakini pia jamii ina amini kwamba nyinyi wenye vipara ndio mna akili nyingi kushinda tusio na vipara.hahahahah.
mama Zainab Tamim naunga mkono juhudi na bidii yako.
Naomba unitumie dozi iliyo kamili moja kwa moja kutoka kwako dsm.. Nikipona nitavutiwa kuwa wakala wako huku Songea. Namba yangu wasap 0765961152
Dozi kamili hata mimi sina uhakika nayo nijuavyo ni huyo mwanangu katumia wiki nne kafikia hali hiyo na ameipenda sana anaendelea kutumia lakini kwa songea na gharama za kutuma ninakushauri uchukuwe dozen moja, tena ukichukuwa dozen moja bei inakuwa nafuu sana. Ni Shillingi 2,000 tu kwa pakti x 12 = 24,000 ambayo unaweza kutumia muda mredu sana nyingine ukauza na kurudisha pesa zako na faidi juu. Kwa uhakika kabisa.
Gharama za usafiri ni juu yako.
Ndio naelewa, haya ni maumbile ya binadamu na kuna watu asili yao hawatoki vipara lakini wengine miaka 18 tu kimeshatoka kulingana na asili za familia wanazotokea. Sasa kwa wale wa asili hiyo ni kwa nini uhangaike nacho!?
Hii si ni sawa na watu wafupi kama Wajapan kutaka warefuke kama Waholanzi!?
lakini pia jamii ina amini kwamba nyinyi wenye vipara ndio mna akili nyingi kushinda tusio na vipara.hahahahah.
mama Zainab Tamim naunga mkono juhudi na bidii yako.
Hapana si mafuta, ni udongo natural unaopatikana meter 40 chini ya ardhi na unauchanganya na maji tu, hauna harufu hauna allergy reactions na hauna madhara, ni ajabu sana hii tiba ya asili 100%
Bei Nzuri na huku haitazidi 5,000 ngoja nijaribu, ila kwa mfano zikiota Ndo nakua nimemalizana na dawa au Ni matumizi endelevu? Any side effects?
Unazo za kuzuia nywele kuota kama vinyweleo na ndevu?
Daaaah.
Sawa aisee
Sio kwamba wana akili isipokuwa wana sifa ya kutumia kichwa kufikiri na sio kufugia nywele!
Dar es Salaam
Dar Home Delivery: Mzee Abdul = 0756803528
Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069 na Joyce Mchagga - 0719024967.Pemba Street House No 12 Karibu na Msimbazi Police.
Ilala kwa Masai Kimako = Mwanahamisi Saloon 0718775220
Kijitonyama - Vivian Mshomi - Stendi ya Makumbusho - 0757176678 / 078476678 / 071576678 / 0776154933
Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0714893685
Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
Sinza = Aunt Zainab - 0769302206
Zanzibar (Unguja)
Dr. S. Shafi 0754650480
Arusha
Mama Aida -0754445733
Dodoma
Rukia - 0653249898
Lindi
Nuru - 0717461575
Mbeya
Haule - 0756994850 na 0784658349
Mwanza
Mama Alex / Bonge 0768545736 na 0765072213
Morogoro
Lina Mafwere - 0754297319 Boma Road.
Tanga
Farouq - 0719190000
Tunakushukuru mama.mimi pia ninatatizo hilo haipiti siku nne bila kunyoa..sasa swali langu je unauzaje hiyo dawa ili kujua maana haya mawasiliano uliyotoa kwa hizo namba/sijui ni mawakala wako tusije kuambiwa bei tofauti na wewe unavyouza.naomba majibu ili nifanye uamuzi.
Recommended retail price ni Shillingi 3,500 kwa mkebe mmoja wa gram 100.