Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Nashukuru...je baada ya kuota nywele unaendelea kutumia au ndio itakuwa huwezi kuacha kuitumia hiyo dawa..yaani ni kila siku. Asante.

Unatumia na ukiona sasa nywele zimestawi vya kutosha unaacha kuitumia lakini tunashauri uwe unatumia japo wiki mara moja ku zi maintain na ku balance nywele zenye afya, na hii ni hata kwa wale wasio na matatizo ya nywele, ni kama unatumia shampoo.
 
Unatumia na ukiona sasa nywele zimestawi vya kutosha unaacha kuitumia lakini tunashauri uwwe unatumia japo wiki mara moja ku zi manitain na ku balance nywele zenye afya, na hii ni hata kwa wale wasio na matatizo ya nywele, ni kama unatumia shampoo.

Asante sana kwa ufafanuzi wako..nitakuona.
 
Mi Ngoja nisubirie mrejesho Kwa hao watakaotumia then ndio nitafanya maamuzi
 
Namna ya kuutumia ni hivyo hovyi iwe unaupaka kichwani au mwilini:

Unachukuwa hii Aunt Zainab's Natural Super Clay kiasi ya kijiko kimoja cha chakula, unachanganya na maji iwe nzito nzito kama ugali laini au uji mzito, unapaka kichwa chote wakati upo nyumbani na ukikauka unalala nao, asubuhi unakoga tu kama kawaida. Ukikauka hauchafui nguo wala mashuka ya kitanda.

Na ule uliobaki kama umeokoroga mwingi kuliko ulivyotumia unautumia tena siku ya pili hauharibiki kabisa hata ukikaa mwaka , sana sana unakauka ukiuongeza maji ukiukoroga unarudi vile vile. Ni ajabu.

Mwanangu niliyeweka picha zake hapo ndivyo alivyotumia na matokeo ni hayo baada ya wiki nne, lakini abasema baada ya siku tatu tu kaanza kuona mabadiliko..
 
Ma sha Allah, Zainab Mwenyeezi Mungu akujaalie ufanikiwe katika hili na jengine.

I know you have the best product and I know how hard you are working on it. In sha Allah itakuwa na mafanikio kwako na kwa watumiaji wako.

Hey, I'm not coming to town tomorrow as relatives are coming to Mkuranga for Eid, but when they come back I'll make sure unaipata biriani ya Mkuranga.

Eid Mubarak.

I'll be in town on Tuesday In sha Allah.

Msalimie sana "babu" Abdul na Hussein Miss yah.
 

Sema bei na quantity
 

Aunt Zainab mimi ni shahid wa hii remedy yako tulichukua kwako sinza ingawa sikuwa na tatizo la ngozi ila nimekuwa nikiutumia ni mzuri sana! Sikujua tu kama unasaidia hata mtu aliyeng'atwa na nyuki au moto! Thanks
 

Asalaam Alaikum Bi dada. Idd Mbaraka kwa ko pia na kwa familia yako.

Nashukuru kwa dua zako.

Nasubiri biriani.
 
Aunt Zainab mimi ni shahid wa hii remedy yako tulichukua kwako sinza ingawa sikuwa na tatizo la ngozi ila nimekuwa nikiutumia ni mzuri sana! Sikujua tu kama unasaidia hata mtu aliyeng'atwa na nyuki au moto! Thanks

Asante Prishaz.

Sasa tumegundua inasaidia pia kwenye nywele kama nilivyoweka kwenye post namba moja.

Nnawatakia Idd njema.
 
Sema bei na quantity

Bei ni 3,500 kwa pakiti.

Quantity; kama upo karibu na inapopatikana na hakuna haja ya kusafirishiwa ninakushauri anza na pakiti tatu. Tumia kila siku uone matokeo kama ni mazuri utaendelea nayo kadiri ya matokeo. Kma upo mbali na inabidi usafirishiwe basi ninakushauri chukuwa dozen moja, utatumia kiasi chako na uliobaki utauza huko huko, utarudisha gharama za usafiri na faida juu.

Hii ni tiba yetu ya asili na tunataka imfaidishe kila mtu ndiyo maana bei zetu ni kwa kila mtu aweze kumudu.

Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…