Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeheeee,goja nijaribu ingawa nimeshaangaika sana .....
Nashukuru...je baada ya kuota nywele unaendelea kutumia au ndio itakuwa huwezi kuacha kuitumia hiyo dawa..yaani ni kila siku. Asante.
Unatumia na ukiona sasa nywele zimestawi vya kutosha unaacha kuitumia lakini tunashauri uwwe unatumia japo wiki mara moja ku zi manitain na ku balance nywele zenye afya, na hii ni hata kwa wale wasio na matatizo ya nywele, ni kama unatumia shampoo.
Asante sana kwa ufafanuzi wako..nitakuona.
Mi Ngoja nisubirie mrejesho Kwa hao watakaotumia then ndio nitafanya maamuzi
Basi naomba nitumiwe iyo dawa
Apo ikikubali itabid niwe shuhuda wa iyo dawa
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.
Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:
Before
View attachment 268739View attachment 268761
Usiwe na wasi wasi hii 100% natural remedy watu wengi sana hata humu humu JF ni ushahidi tosha wameshaitumia kwa matatizo ya ngozi kila aina na imewasaidia sana tena.
Tena ninakushauri, hata kama hauna tatizo lolote hii product inafaa uwenayo nyumbani kwenye first aid kit yako na hata kwenye gari. Inasaidia na inaponesha haraka kuunguwa kwa moto kuliko dawa nyingine yoyote uijuayo. na pia ukitafunwa na nyuki au wadudu wengine ni remedy ya haraka sana.
Karibu sana.
Ma sha Allah, Zainab Mwenyeezi Mungu akujaalie ufanikiwe katika hili na jengine.
I know you have the best product and I know how hard you are working on it. In sha Allah itakuwa na mafanikio kwako na kwa watumiaji wako.
Hey, I'm not coming to town tomorrow as relatives are coming to Mkuranga for Eid, but when they come back I'll make sure unaipata biriani ya Mkuranga.
Eid Mubarak.
I'll be in town on Tuesday In sha Allah.
Msalimie sana "babu" Abdul na Hussein Miss yah.
Aunt Zainab mimi ni shahid wa hii remedy yako tulichukua kwako sinza ingawa sikuwa na tatizo la ngozi ila nimekuwa nikiutumia ni mzuri sana! Sikujua tu kama unasaidia hata mtu aliyeng'atwa na nyuki au moto! Thanks
Sema bei na quantity