Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
-
- #121
Aunt Zainab mimi ni shahid wa hii remedy yako tulichukua kwako sinza ingawa sikuwa na tatizo la ngozi ila nimekuwa nikiutumia ni mzuri sana! Sikujua tu kama unasaidia hata mtu aliyeng'atwa na nyuki au moto! Thanks
MkuuMi nimeogopa hata kuogopa pale uliposema ina kemikali kaliPia nimestuka pale uliposema ni nautral.Nitoe hofu kwa hilo..Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe: BeforeView attachment 268739View attachment 268761
MkuuMi nimeogopa hata kuogopa pale uliposema ina kemikali kaliPia nimestuka pale uliposema ni nautral.Nitoe hofu kwa hilo..
Mkuu Hapo umeeleweka.
Asalaam Alaikum Bi dada. Idd Mbaraka kwa ko pia na kwa familia yako.
Nashukuru kwa dua zako.
Nasubiri biriani.
Zai, kuna mtu kishaondoka nimempa namba yako ya simu akifika Sinza kwa Remmy atakupigia, biriani la kukata na shoka.
Pasha moto, Usiharishe ukanisingizia mie. :A S 114:
teh teh teh teh....ngoja na mimi nijisogeze taratiiiiibu nikadowee biriani ati,Aunt Zainab alikuwa mama'angu wa mtaa,hawezi ninyima hata tonge mbili!
Maswali mengine ya tiba ntaulizia hapohapo!
Karibu sana biriani lake haljafika bado ndiyo ninalisubiri hivi.
Mwache akuwe, ataota tu nywele.
Zai, kuna mtu kishaondoka nimempa namba yako ya simu akifika Sinza kwa Remmy atakupigia, biriani la kukata na shoka.
Pasha moto, Usiharishe ukanisingizia mie. :A S 114:
asante sana!mi nilidhani labda ni tatizo la kiafya!
Ni budi kuchukua tahadhari na hayo madawa.........usije kuota nywele mpaka kwenye paji la uso...!Niko Kahama napataje jamanii, nywele zinanyonyoka.
Niko Kahama napataje jamanii, nywele zinanyonyoka.
Ni budi kuchukua tahadhari na hayo madawa.........usije kuota nywele mpaka kwenye paji la uso...!
Kahama tunakutumia kwa mabasi.