Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #121
Aunt Zainab mimi ni shahid wa hii remedy yako tulichukua kwako sinza ingawa sikuwa na tatizo la ngozi ila nimekuwa nikiutumia ni mzuri sana! Sikujua tu kama unasaidia hata mtu aliyeng'atwa na nyuki au moto! Thanks
Prishaz, kwa aliyeungua kwa moto, ni tiba ya ajabu. Mpaka sasa sijaona dawa inayotibu haraka majeraha ya moto kama hii.
Nina ushuhuda wa picha wa mtoto mdogo aliyeungua mpaka mimi mwenyewe nimeona ajabu.