Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Aunt Zainab mimi ni shahid wa hii remedy yako tulichukua kwako sinza ingawa sikuwa na tatizo la ngozi ila nimekuwa nikiutumia ni mzuri sana! Sikujua tu kama unasaidia hata mtu aliyeng'atwa na nyuki au moto! Thanks

Prishaz, kwa aliyeungua kwa moto, ni tiba ya ajabu. Mpaka sasa sijaona dawa inayotibu haraka majeraha ya moto kama hii.

Nina ushuhuda wa picha wa mtoto mdogo aliyeungua mpaka mimi mwenyewe nimeona ajabu.
 
11743011_128930590776526_8591129776692945485_n.jpg
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe: BeforeView attachment 268739View attachment 268761
MkuuMi nimeogopa hata kuogopa pale uliposema ina kemikali kaliPia nimestuka pale uliposema ni nautral.Nitoe hofu kwa hilo..
 
MkuuMi nimeogopa hata kuogopa pale uliposema ina kemikali kaliPia nimestuka pale uliposema ni nautral.Nitoe hofu kwa hilo..


Hahaha, nisome vizuri nimeandika "...sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali,"

Aunt Zainab's Natural Super Clay
inasaidia wale walioathirika nywele na kemikali kali za nywele.

Pia imesaidia wengi sana walioathirika na kemikali za mwilini hususan zile za kufanya weupe zilizowaunguza ngozi ya usoni na mwilini, hii ndiyo suluhisho pekee na salama.
 
Asalaam Alaikum Bi dada. Idd Mbaraka kwa ko pia na kwa familia yako.

Nashukuru kwa dua zako.

Nasubiri biriani.

Zai, kuna mtu kishaondoka nimempa namba yako ya simu akifika Sinza kwa Remmy atakupigia, biriani la kukata na shoka.

Pasha moto, Usiharishe ukanisingizia mie. :A S 114:
 
Asante FaizaFoxy kwa kuweka link ya hii habari njema kule MMU,maana ingenipita!
Mi nauliza kama hii 'tiba' inafaa kwa mtoto wa miezi kama miwili,maana kuna mtoto wa rafiki yangu ana upara kama wa Arjen Robben ilhali yu bado mdogo!
 
Last edited by a moderator:
Zai, kuna mtu kishaondoka nimempa namba yako ya simu akifika Sinza kwa Remmy atakupigia, biriani la kukata na shoka.

Pasha moto, Usiharishe ukanisingizia mie. :A S 114:

teh teh teh teh....ngoja na mimi nijisogeze taratiiiiibu nikadowee biriani ati,Aunt Zainab alikuwa mama'angu wa mtaa,hawezi ninyima hata tonge mbili!
Maswali mengine ya tiba ntaulizia hapohapo!
 
Zai, kuna mtu kishaondoka nimempa namba yako ya simu akifika Sinza kwa Remmy atakupigia, biriani la kukata na shoka.

Pasha moto, Usiharishe ukanisingizia mie. :A S 114:

Asante bibie, isiwe umentilia vidonge vya ... unajihami kabisa, maana wewe bibi hueleweki.

Asante nimeona watu wa MMU wanakusifu kwa kuweka tangazo langu kule. Nipe link nikalione.

Huyo jamaa yako kanipigia simu kabla hajaondoka Mkuranga.

Saa zingine binaadam saa zingine majinuni ras.

Eid Mubarak.
 
asante sana!mi nilidhani labda ni tatizo la kiafya!

Kawaida watoto huwa na nywele tangu wanapozaliwa japo kidogo, huyo sina uhakika lakini nakushauri muache kidogo kama unaona tatizo linaendelea mpeleke kwa daktari wa watoto kwa ushauri zaidi.
 
Ni budi kuchukua tahadhari na hayo madawa.........usije kuota nywele mpaka kwenye paji la uso...!

Hahaha hapana si umeona huyo kwenye picha hajaota usoni.

Yaani nimecheka kweli, nyie ninauhakika ndiyo mlioitwa na FaizaFoxy kutoka MMU.
FaizaFoxy wapelekee basi na jukwaa lako la ugonjwa wa moyo la siasa, huko ninahisi vipara ni wengi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom