Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #181
Tukumbushane namna ya kuutumia:
Kuutumia kwake ni rahisi sana, unauchanganya na maji masafi unauwacha uwe mnenemnene kama ugali laini, unausiriba sehemu zote unazotaka kama ni kichwa unausiriba kichwa chote na si pale kwenye kipara tu. Kama ni tatizo la chunusi au vipele usoni unausiriba uso mzima na kama ni mwilini hivyo hivyo.
Unaweza kuupaka usiku wakati umemaliza shughuli zako aua kama hauna shughuli hata mchana. Ukikauka unaweza hata kulala nao hauchafui nguo (ukikauka) na hata ukiwa mbichi ukiingia kwenye nguo unatoka mara moja hauwachi mabaka.
Unakaa nao mpaka ukauke unaweza kuuosha baada ya kukauka au ukalala nao asubuhi ukakoga kama kawaida na kuendelea na mambo yako.
Uzuri wake ni kuwa matokeo unaanza kuyaona within 3 days, hata siku ya kwanza tu unaweza kuiona tofauti.
Ninakushauri kabla ya kutumia picha na baada ya kuutumia kila siku piga picha ujionee mabadiliko wewe mwenyewe.
Udongo uliokwisha u mix hauharubiki unaufunika vizuri au unaweka kwenye fridge na siku ya pili unaendelea kuutumia. Kwa hiyo ili kupunguza kazi ya ku mix kila siku, unaweza kuumix ki pakti (mkebe) kizima kabisa, wewe ukija unautumia tu na ukiuhisi unaganda sana unauongeza kaji tu unaukoroga unautumia.
Karibu sana.