Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Tukumbushane namna ya kuutumia:

Kuutumia kwake ni rahisi sana, unauchanganya na maji masafi unauwacha uwe mnenemnene kama ugali laini, unausiriba sehemu zote unazotaka kama ni kichwa unausiriba kichwa chote na si pale kwenye kipara tu. Kama ni tatizo la chunusi au vipele usoni unausiriba uso mzima na kama ni mwilini hivyo hivyo.

Unaweza kuupaka usiku wakati umemaliza shughuli zako aua kama hauna shughuli hata mchana. Ukikauka unaweza hata kulala nao hauchafui nguo (ukikauka) na hata ukiwa mbichi ukiingia kwenye nguo unatoka mara moja hauwachi mabaka.

Unakaa nao mpaka ukauke unaweza kuuosha baada ya kukauka au ukalala nao asubuhi ukakoga kama kawaida na kuendelea na mambo yako.

Uzuri wake ni kuwa matokeo unaanza kuyaona within 3 days, hata siku ya kwanza tu unaweza kuiona tofauti.

Ninakushauri kabla ya kutumia picha na baada ya kuutumia kila siku piga picha ujionee mabadiliko wewe mwenyewe.

Udongo uliokwisha u mix hauharubiki unaufunika vizuri au unaweka kwenye fridge na siku ya pili unaendelea kuutumia. Kwa hiyo ili kupunguza kazi ya ku mix kila siku, unaweza kuumix ki pakti (mkebe) kizima kabisa, wewe ukija unautumia tu na ukiuhisi unaganda sana unauongeza kaji tu unaukoroga unautumia.

Karibu sana.
 
In the beginning God gave to every people a cup of clay; and, from this cup they drank their life'.We have, long, heard of people eating clay known as either 'geophagy' (pronounced…gee-off-uh-gee), or, 'pica'. Taber's Cyclopedia Medical Dictionary defines geophagy as 'a condition in which the patient eats inedible substances such as chalk, or earth'. And, it defines pica as 'a perversion of appetite with cravings for substances not fit for food such as clay, ashes or plaster'.This craving I perceive is not perverted at all; but, makes sense when you know what clay contains and what it does for the body. It has been credited with improving the health of many people suffering from a wide range of illnesses. These include: constipation, diarrhea, anemia, chronic infections and 'outfections', skin ailments (such as eczema and acne), heavy-metal poisoning, exposure to pesticides (and other, acidic, toxins), arthritis, acid reflux, infertility, liver disease and obesity. It is the 'secret ingredient' in the treatment of hair-loss and diabetes, (both Type I and Type II)!

Source:
http://www.phmiracleliving.com/Articles/2006-10-27-Clay.html
 
Nipo dar kwa muda naipataje niwe volunteer mie ni bald head, uwaraza wa asili japo haujakua sana
 
Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:

Before

View attachment 268739 View attachment 268761

Yaani ungekuwa karibu ninge kunasa kibao wewe mpumbaffu sana. Wewe ni tapeli. Pia dawa zipo ila nyingi zinawapunguzia nguvu za kiume wanaume.
 
Sasa ndio umesema nini? mimi nipo karibu sana, Sinza kwa Remmy.

Kama hauna nguvu za kiume tumia hii dawa yangu itakuongezea nguvu za kiume kwa ushahidi wa kisayansi, huu hapa:

In the beginning God gave to every people a cup of clay; and, from this cup they drank their life'.We have, long, heard of people eating clay known as either 'geophagy' (pronounced…gee-off-uh-gee), or, 'pica'. Taber's Cyclopedia Medical Dictionary defines geophagy as 'a condition in which the patient eats inedible substances such as chalk, or earth'. And, it defines pica as 'a perversion of appetite with cravings for substances not fit for food such as clay, ashes or plaster'.This craving I perceive is not perverted at all; but, makes sense when you know what clay contains and what it does for the body. It has been credited with improving the health of many people suffering from a wide range of illnesses. These include: constipation, diarrhea, anemia, chronic infections and 'outfections', skin ailments (such as eczema and acne), heavy-metal poisoning, exposure to pesticides (and other, acidic, toxins), arthritis, acid reflux, infertility, liver disease and obesity. It is the 'secret ingredient' in the treatment of hair-loss and diabetes, (both Type I and Type II)!

Source:
http://www.phmiracleliving.com/Articles/2006-10-27-Clay.html

Haya sema, tatizo lako nini?
 
Nipo dar kwa muda naipataje niwe volunteer mie ni bald head, uwaraza wa asili japo haujakua sana

Dar ipo sehemu nyingi. Lakini ya kukupatia kama unataka kujaribu bila kulipia ipo kwangu tu kwa kuwa wengine ni mawakala na wanainunua kwa hiyo nadhani hawawezi kukupa bure.

Piga namba zangu 0769302206 au ya mume wangu Mzee Abdul 0756803528. Nipo Sinza kwa Remmy.

Na wale wote wasio na uwezo wa kulipia, tiba hii inapatikana bure kwangu. Sinza kwa Remmy.

Karibuni sana.
 
Mi nna uwezo wa kulipia, nifahamishe wakala pande za Tabata
 
Back
Top Bottom