Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Mm bado natumia nitakuja tu kusema kama kipara kimeota nywere kwa sasa nimeingia kikopo cha pili ....
 
Slim5 nimetoka kuongea na Bi Zainab Tamim punde tu inshallah si muda mrefu nitapata utaratibu wa kuinunua dawa,kaniambia you will see results within first month,i will try and tell you kama ni utapeli at least nitapata muda wa nusu saa wa kujipaka tope to have quality time with a family infront of a tv!
But kwa jinsi anavyoongea nahisi ni mtu mwema hatatuonea sie vipara,nina hamu ya kunyoa kiduku mkuu!

Ha ha ninausongo na kiduku, yaani hii style imenipita hivihivi yan mkuu
 
we ndo wakutuambia ukweli usiache kutupa mrejesho

Tena mm nimenunua elfu kumi kwa wakala yuko kariakoo ....haina shida ninachotaka ni kuona maajabu ..... kipara kinaota nywere mke wangu anacheka kila nikiweka si kosi siku hata moja .....nitawapa mrejesho
 
Mi ndio najikandika hapa saa hii naona mke wangu ananicheka lakini siachi japokua kamkebe ka kwanza kanaishia bila mabadiliko yoyote
 
habari dada,mie nipo nachingwea na nilikuwa nahitaji huduma yako,hivyo ningependa kujua nitaipataje kwa huku na kwa kiasi gani mpaka hapa nilipo.


Habari ni njema ndugu yangu, Nachingwea tunaweza kukutumia kwa basi, nashauri uchukuwe dazeni moja kwani huko ni gharama usafiri. Mkebe mmoja ni 3,500/= ukinunua dazeni moja nitakuuzia kwa 3,000 kwa mkebe mmoja x 12 = 36,000 na usafirishaji 10,000 , jumla 46,000/=

Mradi tujulishe tu tukutumie kwa basi lipi maana hatujawahi kutuma huko.
 
Zingatia maelezo mkuu, likubuma atasema ulikosea masharti

Hahahaha, hapana siko hivyo. Nimetangaza humu, kwa amabae haitomsaidia ni "money back guarantee".

Tiba kwa mmoja inawezza isiwe tiba kwa mwengine, lakini tunashukuru mpaka sasa tuna positive results, tazama hiki kipande mume wangu ame ki snap alikuwa ana chat na mwanafamilia mmoja aliyekuwa na matizo mengine kabisa ya ngozi, ni very positive...

Hanifa din super clay.PNG
 
Musoma vipi tunawezaje kupata hiyo huduma?

Musoma naona ni karibu na Mwanza unaweza mpigia Firdaus namba zake ni: 0719320303 amechukuwa kuupeleka Mwanza sasa sijui umefika tayari au la.

La sivyo tunaweza kukutumia kwa basi, nashauri uchukuwe dazeni moja kwani huko ni gharama usafiri. Mkebe mmoja ni 3,500/= ukinunua dazeni moja nitakuuzia kwa 3,000 kwa mkebe mmoja x 12 = 36,000 na usafirishaji 10,000 , jumla 46,000/=

Itabidi utueleze tukutumie kwa basi lipi kwani sijawahi kuusafirisha huko.

Namba ya kutuma Mpesa ni 0756803528.
 
Tena mm nimenunua elfu kumi kwa wakala yuko kariakoo ....haina shida ninachotaka ni kuona maajabu ..... kipara kinaota nywere mke wangu anacheka kila nikiweka si kosi siku hata moja .....nitawapa mrejesho

Dah! hawa mawakala mbona wanaumiza watu jamani? Mimi ninawauzia bei nzuri sana.

Jamani mawakala mnaonisoma, tafadhali msiweke bei hizo, japo muweke nusu yake tu jamani. Hii ni bidhaa yetu ya Tanzania tunataka iwasaidie wengi kwa gharama nafuu na wale wasio na uwezo wa kununua wapeni bure na mimi nitawarudishia mikebe mliyotoa sadaka.

Nnaomba tusichukue advantage kwa wenye kuhitaji tiba.

Lakini kwenye biashara sitaki kuwaingilia sana wauzaji kwani bei ninazitangaza humu mara kwa mara na kama mteja mwenyewe karidhika bei hiyo, si neno.
maph, au ulipigwa smile ya kukata na shoka na muuzaji akakupagawisha, sema kweli!
 
Last edited by a moderator:
Mama hao mawakala wako wamelala sana, ngoja niagize mzigo wa kutosha then niwe wakala huku mwanza na kanda ya ziwa, haiwezekani mtu hapokei simu na hajibu msg hivi mteja unamuweka katika mazingira gani na anahitaji bidhaa?
 
Mama hao mawakala wako wamelala sana, ngoja niagize mzigo wa kutosha then niwe wakala huku mwanza na kanda ya ziwa, haiwezekani mtu hapokei simu na hajibu msg hivi mteja unamuweka katika mazingira gani na anahitaji bidhaa?

Utafanya jambo la maana sana. Aaah hawa wana matatizo, sijapata wakala wa uhakika hasa mpaka sasa.
 
Mrejesho wadau maana mimi Kofia zimeshanichosha kila miezi 2 lazima ninunue kofia kwa ajili ya kuficha huu uwaraza unaokuwa kwa kasi ya ajabu,ila sjiu itakuwaje maana shemeji yenu kasha anza kuzoea kuushika shika tukiwa tumepumzika.
 
Mrejesho wadau maana mimi Kofia zimeshanichosha kila miezi 2 lazima ninunue kofia kwa ajili ya kuficha huu uwaraza unaokuwa kwa kasi ya ajabu,ila sjiu itakuwaje maana shemeji yenu kasha anza kuzoea kuushika shika tukiwa tumepumzika.

Pia ninaomba mfahamishe shemeji, hii tiba si kwa ajili ya vipara tu. Hata wanawake wanokatika katika nywele, wale ambao nywele hazina afya, ambazo ni nyepesi, inawasaidia sana tena sana.

Hii ni mbadala wa zile sijuwi hair food za ghali, au shampoo za ghali za kutoa mba, au mafuta ya kufanya nywele zisikatike.

Hii ni mbadala, rahisi, na proven kwa yeyote mwenye matatizo kama hayo kama hayajaondoka au kupungua kabisa baada ya kutumia. Money back Guarantee.

Ninaomba uelewe kuwa tiba hii hii huko nje ni gharama kubwa na ghali sana, tushukuru tumeivumbua kuwa hapa nyumbani ipo na ni bora zaidi ya hiyo ya nje na ndio maana ni rahisi sana ukiinunua kwetu.

Nnaomba jisomee: Clay hair treatment
 
Back
Top Bottom